Wataalam wetu wamefikia hatua gani kuhusu kinga ama tiba ya Corona?

Mimi sizungumzi uafrika au kulaumu uafrika kwa hayo unayoyaandika hapa kinadharia.

Nadharia gani nimeandika??!!, huo ndiyo ukweli kwani hakuna Muafrika au maabara yoyote ya nchi za kiafrika inayojishughulisha na kutafuta chanjo ya Corona na magonjwa mengine licha ya kuwa na maprofesa na madoctor (phds) kibao.

Corona ni pandemic, Wazungu wasipopata dawa then we are all finished within no time, Waafrika tupo kimya tu tukisubiri kudra ya Mungu pekee.
 
Mloganzila siyo tena MUHIMBILI UNIVERSITY
 
maabara yoyote ya nchi za kiafrika inayojishughulisha na kutafuta chanjo ya Corona na magonjwa mengine licha ya kuwa na maprofesa na madoctor (phds) kibao.
'Statement' ya jumla jumla kama hii huoni inakuondolea uhalali wa hoja zako?

Kama bado huelewi ninachokieleza na kuendelea kutoa 'wild declarations' kama hizi ni kupoteza mda kujaribu kukuelewesha.
Wazungu wasipopata dawa then we are all finished within no time, Waafrika tupo kimya tu tukisubiri kudra ya Mungu pekee.
Wachina wakipata je, au nao unawachukulia kuwa wazungu? Miaka michache tu ya nyuma ilikuwa nadra kusikia chochote kimegunduliwa huko. Miaka michache ijayo itakuwa habari ya Afrika. Omba ubahatiwe kuwa hai.

Kwa taarifa yako tayari 'antibodies' zinazozuia coronavirus kuingia kwenye 'cells' zimekwishapatikana, na waliozipata sio wazungu!
 
Kunawa mikono aligundua daktari. Lazima watoke watu kwenye tiba wavumbue.
Ingawaje si wengi, sisi hatuna
I wish watu wangejua na kutuheshimu madaktari

Atleast wangejua hatusomi kugundua vitu sisi

Atleast wapatikane binadamu wachache wenye uelewa

Kwamba kuna muda wewe kuishi au kutokuishi kupo mikononi mwangu

I wish wangetuombea, rafiki yangu daktari kafariki italia nlihuzunika ninawaza na mimi je itakuaje na us ngoma imechangamka hivi

Asante!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mbona unauliza swali la darasa la 3 ..namashaka na uwezo wako wakufikiri au ndo nyoe mliofaulu Kwa kukatiri mwisho wa siku mkaishia kuitwa vipanga WA makaratasi lakini mbumbumbu katika uhalisia??unategemea mim mkulima nigundue dawa yakutibu binadamu na wataalamu bingwa wa tiba za binadamu wapo..na tangu kitivo cha udaktari na afya binadamu kianze kuzalisha wataalamu wa tiba za binadamu nigunduzi ngapi wamewahi kufanya..tunaleta hoja hii sababu swala hili la Corona linagusa sekta ya afya moja Kwa moja..siku nyingine itumikishe akili yako kabla yakutype maswali ya hovyo kama hayo
Kabla hujajua madaktari wamegundua nini jiulize kwanza wewe umegundua nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Statement' ya jumla jumla kama hii huoni inakuondolea uhalali wa hoja zako?

Tatizo hili ni general kwa Waafrika halipo kwa wazungu, sasa niambie ni nchi gani ya Afrika leo inatafuta chanjo ya Corona???, Ebola iliua mamia ya watu huko West Africa na Congo, so far ni nchi gani ya Africa ime-develop chanjo??, tatizo la Ebola ni letu lakini hadi Mzungu/Muasia atengeneze dawa kwa ajili yetu huku our intellectuals wapo usingizini!!!, wewe huoni kwamba hili ni tatizo general kwa Waafrika???!!
 
Wachina wakipata je, au nao unawachukulia kuwa wazungu? Miaka michache tu ya nyuma ilikuwa nadra kusikia chochote kimegunduliwa huko. Miaka michache ijayo itakuwa habari ya Afrika. Omba ubahatiwe kuwa hai.

Sasa wewe huoni hapa unaniunga mkono??!!--- kama Wachina miaka michache walikuwa nyuma ndivyo hivyohivyo sisi leo tupo nyuma hadi tunashindwa kufanya tafitivkwa ajili ya matatizo yetu wenyewe hadi tutegemee Wazungu au Waasia, hicho ndicho ninachosema. We are lagging behind "generally" in many things.
 
Kwa taarifa yako tayari 'antibodies' zinazozuia coronavirus kuingia kwenye 'cells' zimekwishapatikana, na waliozipata sio wazungu!

Hizo antibodies kazipata nani, Muafrika??!!---- kwa taarifa yako kupata Antibodies siyo kazi kazi ni ku develop a vaccine to combat the virus, antibodies za Corona zinapatikana katika Serum ya mtu yeyote aliyeugua Corona na kisha akapona, that is not a big issue, the big issue is how from the antibodies you can be able to produce in mass a vaccine, I wii be very proud to see an African wherever he/she is makes it. ---- this is what I am longing to see.
 
Kabla hujajua madaktari wamegundua nini jiulize kwanza wewe umegundua nini?
Testing the presence of virus is either detecting its presence and is not the same as determining molecular targets where the drugs should be directed. It needs understanding the structure of a virus or any infective agent and its biochemistry so as to establish where drugs should target. That is an important step in drug discovery for any communicable disease. Then you need to think of designing a drug or drugs and how to deliver to that molecular target. So it is not as easy as described by many individuals in whatsaps that have been circulating and I think here at the university a drug discovery expert needs to give tuition on drug discovery. Imejitokeza waziwazi kuwa watu wengi hawajui drug discovery ni nini. Nilibahatika kupata professors from Janseen pharm company tukiwa tunasoma master degree Belgium huko Vrije university of Brussels VUB. Professors wa Janseen pharm company walikuwa wanakuja VUB kutupiga shule hiyo. Na baadaye walitupa study tour kwenye lab zao. Ndipo nilipogundua ni shughuli pevu. You need to know where your drugs to target to an infective agent eg envelope' protein on the surface' enzymes or replication machinery etc and these targets should have structural features that enhance selectivity to avoid affecting human cells. Then you cn start the invitro tests using cells in test tubes, preclinical journey in animals of various level until the one that resembles the human. Ukifaulu hapo ndipo iingie clinical trials in human na hizi ni controlled trials ambazo lazima your study volunteers wawe admitted in a health facility and closely monitored. You know you start with 20 healthy people in phase 1 extending to 3000 patients in phase 3. And in each step there are important parameters to determine eg safe and efficacious doses, dosage formulations etc.and this is trial so you try several options using the information you obtained from animals such as chimpanzee until you reach the best optimum. I will not go into details because siyo wote watakaosoma message hii ni scientists na somo hili ni refu.So African professors would love to do this but such infrastructures are not built in a year it is a process and you need trained and motivated human and committed financial resources and rich government. Ndiyo maana vijana wengi wanapoyasoma haya ulaya au elsewhere wanazamia hukohuko kuliko kuja kufundisha theory zake Africa. Utasema with narrow mind siyo wazalendo[emoji28][emoji28][emoji28]

C&P kutoka Prof wangu.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa ku copy and paste. Wataalam wa ulaya wakisema kitu huku wataalam wetu fasta tu ku copy and paste biashara inaendelea.
Kama kuna mTz ambae ana PhD ambayo imesaidia taifa kwa namna yoyote anyooshe mkono.
 
Hizo antibodies kazipata nani, Muafrika??!!---- kwa taarifa yako kupata Antibodies siyo kazi kazi ni ku develop a vaccine to combat the virus, antibodies za Corona zinapatikana katika Serum ya mtu yeyote aliyeugua Corona na kisha akapona, that is not a big issue, the big issue is how from the antibodies you can be able to produce in mass a vaccine, I wii be very proud to see an African wherever he/she is makes it. ---- this is what I am longing to see.
Poor you. Instead of longing to do.....you are longing to see while you have the basic knowledge
 
mkuu mbona unauliza swali la darasa la 3 ..namashaka na uwezo wako wakufikiri au ndo nyoe mliofaulu Kwa kukatiri mwisho wa siku mkaishia kuitwa vipanga WA makaratasi lakini mbumbumbu katika uhalisia??unategemea mim mkulima nigundue dawa yakutibu binadamu na wataalamu bingwa wa tiba za binadamu wapo..na tangu kitivo cha udaktari na afya binadamu kianze kuzalisha wataalamu wa tiba za binadamu nigunduzi ngapi wamewahi kufanya..tunaleta hoja hii sababu swala hili la Corona linagusa sekta ya afya moja Kwa moja..siku nyingine itumikishe akili yako kabla yakutype maswali ya hovyo kama hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndiyo pimbi kweli, kwa akili yako swala kugundua kitu ni la wataalamu bingwa?
Wewe mkulima hilo jembe unalotumia hujui kama kuna mtu aligundua?
JIULIZE TENA KWA ELIMU YAKO ULIYOPATA UMEGUNDUA NINI?
 
Testing the presence of virus is either detecting its presence and is not the same as determining molecular targets where the drugs should be directed. It needs understanding the structure of a virus or any infective agent and its biochemistry so as to establish where drugs should target. That is an important step in drug discovery for any communicable disease. Then you need to think of designing a drug or drugs and how to deliver to that molecular target. So it is not as easy as described by many individuals in whatsaps that have been circulating and I think here at the university a drug discovery expert needs to give tuition on drug discovery. Imejitokeza waziwazi kuwa watu wengi hawajui drug discovery ni nini. Nilibahatika kupata professors from Janseen pharm company tukiwa tunasoma master degree Belgium huko Vrije university of Brussels VUB. Professors wa Janseen pharm company walikuwa wanakuja VUB kutupiga shule hiyo. Na baadaye walitupa study tour kwenye lab zao. Ndipo nilipogundua ni shughuli pevu. You need to know where your drugs to target to an infective agent eg envelope' protein on the surface' enzymes or replication machinery etc and these targets should have structural features that enhance selectivity to avoid affecting human cells. Then you cn start the invitro tests using cells in test tubes, preclinical journey in animals of various level until the one that resembles the human. Ukifaulu hapo ndipo iingie clinical trials in human na hizi ni controlled trials ambazo lazima your study volunteers wawe admitted in a health facility and closely monitored. You know you start with 20 healthy people in phase 1 extending to 3000 patients in phase 3. And in each step there are important parameters to determine eg safe and efficacious doses, dosage formulations etc.and this is trial so you try several options using the information you obtained from animals such as chimpanzee until you reach the best optimum. I will not go into details because siyo wote watakaosoma message hii ni scientists na somo hili ni refu.So African professors would love to do this but such infrastructures are not built in a year it is a process and you need trained and motivated human and committed financial resources and rich government. Ndiyo maana vijana wengi wanapoyasoma haya ulaya au elsewhere wanazamia hukohuko kuliko kuja kufundisha theory zake Africa. Utasema with narrow mind siyo wazalendo[emoji28][emoji28][emoji28]

C&P kutoka Prof wangu.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Average cost of developing drugs/vaccine?
 
Wakati wataalamu na watabe katika kada ya afya kutoka mataifa mbalimbali duniani wakipambana kutafuta dawa ama kinga dhidi ya kirusi Corona, nataka kufahamu kuhusu hawa madaktari bingwa tena watabe kwelikweli kutoka Tanzania wao wamefikia hatua gani ya kiutafiti?

Je, tutegemee lolote kutoka kwao? Ama na wao wanasubiri Ulaya na Marekani zipate tiba ama chanjo kisha waje vifua mbele kuelezea matumizi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna waafrika wa kizazi hiki wenye akili za kugundua dawa
 
Hizo antibodies kazipata nani, Muafrika??!!---- kwa taarifa yako kupata Antibodies siyo kazi kazi ni ku develop a vaccine to combat the virus, antibodies za Corona zinapatikana katika Serum ya mtu yeyote aliyeugua Corona na kisha akapona, that is not a big issue, the big issue is how from the antibodies you can be able to produce in mass a vaccine, I wii be very proud to see an African wherever he/she is makes it. ---- this is what I am longing to see.
Wewe ni kiazi.

Huelewi unachosoma.

Kwani zinapopatikana kwenye serum ya aliyepona na zikatengwa ili kutumika kwa mgonjwa, hiyo sio hatua mbele? Mbona sasa hivi 'plasma' inatumika kwa baadhi ya wagonjwa!

"Kazi ni ku'develop a vaccine to combat the virus," nani kakwambia sijui hilo. Na kwa taarifa yako, it's only a matter of months vaccine itapatikana.

Halafu kwa mtu kiazi kama wewe utarudi hapa na kuonyesha ujuaji kuhusu hatua zinazotakiwa kufanywa kwenye 'clinical studies kabla ya kuruhusu, kana kwamba una'patent' na taarifa juu ya taarifa kama hizo peke yako bila kujua kuna 'exceptions' zinazoruhusu baadhi ya hatua hizo kutofanyika.

Hata hivyo, naona kidogo unao mwanga katika hili.
 
Tanzania has some of the weakest PhD s. Mtu yuko tayari kujisifu ana PhD lakini ukimuuliza kwanini mavi ya mbuzi ni punje punje wakati ya ng'ombe ni li moja hawana jibu. We have PhD that don't even know shit...
Itakua research ya covid 19?
LOooh, hili nalo jambo.

Mtu akishakuwa na PhD tu, anatakiwa kuyajua yote hayo ya 'mbuzi na ng'ombe'!
Hata kama yeye PhD yake inahusu "funza wanaozaliwa na 'Black Soldier Fly'"?

Mkuu 'Deceiver' are you serious, au unatania?
 
Wewe ni kiazi.

Huelewi unachosoma.

Kwani zinapopatikana kwenye serum ya aliyepona na zikatengwa ili kutumika kwa mgonjwa, hiyo sio hatua mbele? Mbona sasa hivi 'plasma' inatumika kwa baadhi ya wagonjwa!

"Kazi ni ku'develop a vaccine to combat the virus," nani kakwambia sijui hilo. Na kwa taarifa yako, it's only a matter of months vaccine itapatikana.

Halafu kwa mtu kiazi kama wewe utarudi hapa na kuonyesha ujuaji kuhusu hatua zinazotakiwa kufanywa kwenye 'clinical studies kabla ya kuruhusu, kana kwamba una'patent' na taarifa juu ya taarifa kama hizo peke yako bila kujua kuna 'exceptions' zinazoruhusu baadhi ya hatua hizo kutofanyika.

Hata hivyo, naona kidogo unao mwanga katika hili.

Hivi wewe ni mshenzi wa wapi usiyeweza kuandika bila expletive language??!!---- you idiot blind fool.

Subject matter ni; jinsi gani wanataaluma wa kiafrika wanavyojihusisha na utafutaji wa dawa na chanjo za magonjwa mbalimbali na hususan yale magonjwa yanayotusibu sisi waafrika mfano Ebola, kazi hiyo tumewaachia Wazungu au Waasia tu, wataalamu wetu hawana uthubutu, hiyo ndiyo ilikuwa mada, wewe ukaleta hoja kwamba Antibodies zimeweza kupatikana, mimi nikakuambia that is not an issue kwasababu Antibodies zinaweza kupatikana kwenye Serum ya mtu yeyote aliyepona Covid -19 na Wachina wanatumia njia hiyo na wanadai imeweza kuokoa maisha ya wagonjwa waliokuwa kwenye acute stage, swali (mada) ni hili; ni wanasayansi gani wa kiafrika wapo involved katika kazi ya Isolation ya hizo antibodies ili zitumike kuwatibu wagonjwa wa Covid -19 huku kwetu Afrika??!!, for the disease is a pandemic,, ni wataalamu gani wa kiafrika wanafanya tafiti ama za kupata Vaccines (innoculation) kwa magonjwa kama Ebola inayolipuka mara kwa mara huku Africa??--- badala ya kujikita kwenye Subject matter wewe unakuja kujionyesha (kujimwambafai) kwamba ni mtaalamu wa mambo ya magonjwa na huku ukinitusi !!!, hiyo ndiyo tabia ya kiafrika ya majivuno na kujiona baada ya kupata " elimu" kiduchu!!!, wewe bado hujaelimika na utakuwa mjinga kujiona umeelimika kwani duniani hayupo aliyeelimika na hatotokea.
 
Back
Top Bottom