Mimi sizungumzi uafrika au kulaumu uafrika kwa hayo unayoyaandika hapa kinadharia.
Hiyo dawa ya mitishamba imegunduliwa nchi gani, au tiba mbadala za kichinaMm natumiaga miti shamba mkuu
'Statement' ya jumla jumla kama hii huoni inakuondolea uhalali wa hoja zako?maabara yoyote ya nchi za kiafrika inayojishughulisha na kutafuta chanjo ya Corona na magonjwa mengine licha ya kuwa na maprofesa na madoctor (phds) kibao.
Wachina wakipata je, au nao unawachukulia kuwa wazungu? Miaka michache tu ya nyuma ilikuwa nadra kusikia chochote kimegunduliwa huko. Miaka michache ijayo itakuwa habari ya Afrika. Omba ubahatiwe kuwa hai.Wazungu wasipopata dawa then we are all finished within no time, Waafrika tupo kimya tu tukisubiri kudra ya Mungu pekee.
I wish watu wangejua na kutuheshimu madaktari
Atleast wangejua hatusomi kugundua vitu sisi
Atleast wapatikane binadamu wachache wenye uelewa
Kwamba kuna muda wewe kuishi au kutokuishi kupo mikononi mwangu
I wish wangetuombea, rafiki yangu daktari kafariki italia nlihuzunika ninawaza na mimi je itakuaje na us ngoma imechangamka hivi
Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujajua madaktari wamegundua nini jiulize kwanza wewe umegundua nini?
Statement' ya jumla jumla kama hii huoni inakuondolea uhalali wa hoja zako?
Wachina wakipata je, au nao unawachukulia kuwa wazungu? Miaka michache tu ya nyuma ilikuwa nadra kusikia chochote kimegunduliwa huko. Miaka michache ijayo itakuwa habari ya Afrika. Omba ubahatiwe kuwa hai.
Kwa taarifa yako tayari 'antibodies' zinazozuia coronavirus kuingia kwenye 'cells' zimekwishapatikana, na waliozipata sio wazungu!
Testing the presence of virus is either detecting its presence and is not the same as determining molecular targets where the drugs should be directed. It needs understanding the structure of a virus or any infective agent and its biochemistry so as to establish where drugs should target. That is an important step in drug discovery for any communicable disease. Then you need to think of designing a drug or drugs and how to deliver to that molecular target. So it is not as easy as described by many individuals in whatsaps that have been circulating and I think here at the university a drug discovery expert needs to give tuition on drug discovery. Imejitokeza waziwazi kuwa watu wengi hawajui drug discovery ni nini. Nilibahatika kupata professors from Janseen pharm company tukiwa tunasoma master degree Belgium huko Vrije university of Brussels VUB. Professors wa Janseen pharm company walikuwa wanakuja VUB kutupiga shule hiyo. Na baadaye walitupa study tour kwenye lab zao. Ndipo nilipogundua ni shughuli pevu. You need to know where your drugs to target to an infective agent eg envelope' protein on the surface' enzymes or replication machinery etc and these targets should have structural features that enhance selectivity to avoid affecting human cells. Then you cn start the invitro tests using cells in test tubes, preclinical journey in animals of various level until the one that resembles the human. Ukifaulu hapo ndipo iingie clinical trials in human na hizi ni controlled trials ambazo lazima your study volunteers wawe admitted in a health facility and closely monitored. You know you start with 20 healthy people in phase 1 extending to 3000 patients in phase 3. And in each step there are important parameters to determine eg safe and efficacious doses, dosage formulations etc.and this is trial so you try several options using the information you obtained from animals such as chimpanzee until you reach the best optimum. I will not go into details because siyo wote watakaosoma message hii ni scientists na somo hili ni refu.So African professors would love to do this but such infrastructures are not built in a year it is a process and you need trained and motivated human and committed financial resources and rich government. Ndiyo maana vijana wengi wanapoyasoma haya ulaya au elsewhere wanazamia hukohuko kuliko kuja kufundisha theory zake Africa. Utasema with narrow mind siyo wazalendo[emoji28][emoji28][emoji28]Kabla hujajua madaktari wamegundua nini jiulize kwanza wewe umegundua nini?
Poor you. Instead of longing to do.....you are longing to see while you have the basic knowledgeHizo antibodies kazipata nani, Muafrika??!!---- kwa taarifa yako kupata Antibodies siyo kazi kazi ni ku develop a vaccine to combat the virus, antibodies za Corona zinapatikana katika Serum ya mtu yeyote aliyeugua Corona na kisha akapona, that is not a big issue, the big issue is how from the antibodies you can be able to produce in mass a vaccine, I wii be very proud to see an African wherever he/she is makes it. ---- this is what I am longing to see.
We ndiyo pimbi kweli, kwa akili yako swala kugundua kitu ni la wataalamu bingwa?mkuu mbona unauliza swali la darasa la 3 ..namashaka na uwezo wako wakufikiri au ndo nyoe mliofaulu Kwa kukatiri mwisho wa siku mkaishia kuitwa vipanga WA makaratasi lakini mbumbumbu katika uhalisia??unategemea mim mkulima nigundue dawa yakutibu binadamu na wataalamu bingwa wa tiba za binadamu wapo..na tangu kitivo cha udaktari na afya binadamu kianze kuzalisha wataalamu wa tiba za binadamu nigunduzi ngapi wamewahi kufanya..tunaleta hoja hii sababu swala hili la Corona linagusa sekta ya afya moja Kwa moja..siku nyingine itumikishe akili yako kabla yakutype maswali ya hovyo kama hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndiyo pimbi kweli, kwa akili yako swala kugundua kitu ni la wataalamu bingwa?
Wewe mkulima hilo jembe unalotumia hujui kama kuna mtu aligundua?
JIULIZE TENA KWA ELIMU YAKO ULIYOPATA UMEGUNDUA NINI?
Umeshindwa kujibu hoja
Average cost of developing drugs/vaccine?Testing the presence of virus is either detecting its presence and is not the same as determining molecular targets where the drugs should be directed. It needs understanding the structure of a virus or any infective agent and its biochemistry so as to establish where drugs should target. That is an important step in drug discovery for any communicable disease. Then you need to think of designing a drug or drugs and how to deliver to that molecular target. So it is not as easy as described by many individuals in whatsaps that have been circulating and I think here at the university a drug discovery expert needs to give tuition on drug discovery. Imejitokeza waziwazi kuwa watu wengi hawajui drug discovery ni nini. Nilibahatika kupata professors from Janseen pharm company tukiwa tunasoma master degree Belgium huko Vrije university of Brussels VUB. Professors wa Janseen pharm company walikuwa wanakuja VUB kutupiga shule hiyo. Na baadaye walitupa study tour kwenye lab zao. Ndipo nilipogundua ni shughuli pevu. You need to know where your drugs to target to an infective agent eg envelope' protein on the surface' enzymes or replication machinery etc and these targets should have structural features that enhance selectivity to avoid affecting human cells. Then you cn start the invitro tests using cells in test tubes, preclinical journey in animals of various level until the one that resembles the human. Ukifaulu hapo ndipo iingie clinical trials in human na hizi ni controlled trials ambazo lazima your study volunteers wawe admitted in a health facility and closely monitored. You know you start with 20 healthy people in phase 1 extending to 3000 patients in phase 3. And in each step there are important parameters to determine eg safe and efficacious doses, dosage formulations etc.and this is trial so you try several options using the information you obtained from animals such as chimpanzee until you reach the best optimum. I will not go into details because siyo wote watakaosoma message hii ni scientists na somo hili ni refu.So African professors would love to do this but such infrastructures are not built in a year it is a process and you need trained and motivated human and committed financial resources and rich government. Ndiyo maana vijana wengi wanapoyasoma haya ulaya au elsewhere wanazamia hukohuko kuliko kuja kufundisha theory zake Africa. Utasema with narrow mind siyo wazalendo[emoji28][emoji28][emoji28]
C&P kutoka Prof wangu.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna waafrika wa kizazi hiki wenye akili za kugundua dawaWakati wataalamu na watabe katika kada ya afya kutoka mataifa mbalimbali duniani wakipambana kutafuta dawa ama kinga dhidi ya kirusi Corona, nataka kufahamu kuhusu hawa madaktari bingwa tena watabe kwelikweli kutoka Tanzania wao wamefikia hatua gani ya kiutafiti?
Je, tutegemee lolote kutoka kwao? Ama na wao wanasubiri Ulaya na Marekani zipate tiba ama chanjo kisha waje vifua mbele kuelezea matumizi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kiazi.Hizo antibodies kazipata nani, Muafrika??!!---- kwa taarifa yako kupata Antibodies siyo kazi kazi ni ku develop a vaccine to combat the virus, antibodies za Corona zinapatikana katika Serum ya mtu yeyote aliyeugua Corona na kisha akapona, that is not a big issue, the big issue is how from the antibodies you can be able to produce in mass a vaccine, I wii be very proud to see an African wherever he/she is makes it. ---- this is what I am longing to see.
LOooh, hili nalo jambo.Tanzania has some of the weakest PhD s. Mtu yuko tayari kujisifu ana PhD lakini ukimuuliza kwanini mavi ya mbuzi ni punje punje wakati ya ng'ombe ni li moja hawana jibu. We have PhD that don't even know shit...
Itakua research ya covid 19?
Wewe ni kiazi.
Huelewi unachosoma.
Kwani zinapopatikana kwenye serum ya aliyepona na zikatengwa ili kutumika kwa mgonjwa, hiyo sio hatua mbele? Mbona sasa hivi 'plasma' inatumika kwa baadhi ya wagonjwa!
"Kazi ni ku'develop a vaccine to combat the virus," nani kakwambia sijui hilo. Na kwa taarifa yako, it's only a matter of months vaccine itapatikana.
Halafu kwa mtu kiazi kama wewe utarudi hapa na kuonyesha ujuaji kuhusu hatua zinazotakiwa kufanywa kwenye 'clinical studies kabla ya kuruhusu, kana kwamba una'patent' na taarifa juu ya taarifa kama hizo peke yako bila kujua kuna 'exceptions' zinazoruhusu baadhi ya hatua hizo kutofanyika.
Hata hivyo, naona kidogo unao mwanga katika hili.