Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
-
- #2,081
Na kataaa "... mtumba ni kwa kujuana"
Jamaa anaweza kutoka huko mapema kabla yako na barua yake ikaanza na “ Kutokana na umuhimu wa kazi na kwa mamlaka niliyonayo chini ya Kifungu cha…”
Utabaki unashangaa hapo. Be humble mshua, mtumba ni kwa watumishi wote.
Humo watajaa walimu tuu..!!!Hivi hatuwezi tukawa na group letu la what'sApp
Hapana wao TANTRADE ndio wamewa Reject.Ilipita auto
Walipata nafasiHapana wao TANTRADE ndio wamewa Reject.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sasa kama kuna watu wanakula reject za destination napema hivi kwanini watu wa auto tufute request zetu.Hapana wao TANTRADE ndio wamewa Reject.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
ESS ombi lilitoka, Mkurugenzi wetu akapitisha.Walipata nafasi
Over 5 yrsSasa kwanini wamekataliwa huko UTUMISHI, wamewekewa case/reason zipi..?
Kifupi kwenye Halmashauri yetu HAKUNA ALIYEHAMA kwenye mkeka huu ambao ulitoka July watu wakasambaziana wakauwahi ila wote REJECTED kuanzia wale waliopiga direct Transfer na wale walioanza na Vacancy, woteeeee REJECTED.Ha
Kwa hali hii basi UTUMISHI wana ajenda yao tu ya Siri, kwanini iwe hivyo..?Yaan watu wanapamba hivyo lakini Bado wanarudishwa nyuma 🤔
Hapo unajikadiria humo humo, utumishi wakikupa transfer alafu destination wakakukataa. Unarudi utumishi wanakutafutia taasisi ingine yenye nafasi yako unakua umechomoka kwa staili hiyo 😀Umeandika kitu kizuri,
Jambo lingine linaloleta mkanganyiko ni nafasi za Engineer, ukirefer ule mkeka wa nafasi za kuhamia utakuta taasisi inataka Engineer au Technician lakini utumishi hawaja-specify ni engineer au Technician wa Nini.. kama ni maji, umeme, ujenzi, kilimo au wa Mapenzi 😁
Duuh asee kilio cha wengi. Utumishi wanaregulate movement za watumishi itakua wanadhibiti watu kuhama hama.Huku Halmashauri yetu wachumi wa 3 wotee Rejected na Vacancy Request zilikuwa accepted kwa Mkurugenzi wetu na huko anakotaka kwenda.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Daah wanatuonea basi hata mimi nitakua namlaumu mkurugenzi wangu bure yule mzee huwa hazuii mtu kuhama. Na kuna HR mmoja nilimfika mapema akaelewa ngoma ikaenda utumishi mapema sana.Ety watu wanasema inasababishwa na utitiri wa waombaji, kwamba ni wengi hivyo ndio maana wengine wanapigwa rejected hivyo..!
Imekaaje hii jamani
Kwamba destination organisation wali-accept kwa kukubali na bado wakakosa?au sijakupata!Huku Halmashauri yetu wachumi wa 3 wotee Rejected na Vacancy Request zilikuwa accepted kwa Mkurugenzi wetu na huko anakotaka kwenda.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mhhhhh huyo atakuwa anawawekea comment ngumu msitoke(kuwasagia kunguni kwa kuwa hamna access ya kuona comments),nyinyi kwa kuwa anawaonesha tabasamu mnajua hana shida anawatakia mema.Haipo.
Mkurugenzi wetu ni muislamu safiii
Kila anaetaka kuham anamshirikisha ila Woteee wamekula REJECTED.
Na wengine wameweka mpaka barua za huko wanakotaka kwenda kwamba wamemkubalia aende ila REJECTED.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Dahhhh bora hata ule rejected destination organisation mapema unarudi kujipanga,ila ikienda utumishi ikae miezi miwili hadi mitatu halafu ukutane na rejected kwa kweli inauma.Nilichomuelewa Liverpool VPN ni kwamba , hao jamaa wamekula rejected destination Institution na sio Utumishi, japo wapo waliokula rejected Utumishi kwa auto au hata vacancy
Wamekataliwa na Destination au UTUMISHI?Haipo.
Mkurugenzi wetu ni muislamu safiii
Kila anaetaka kuham anamshirikisha ila Woteee wamekula REJECTED.
Na wengine wameweka mpaka barua za huko wanakotaka kwenda kwamba wamemkubalia aende ila REJECTED.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sababu ipi waliyojibiwa kutoka utumishi?Over 5 yrs
Wameajiriwa mmoja 2012 na mwengine 2014.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Bora rejected kuliko autoSasa kama kuna watu wanakula reject za destination napema hivi kwanini watu wa auto tufute request zetu.
Hapitishi yeye anapitisha IT. IT ana account yake, mfano mimi ni REJECTED na IT alipitisha ombi langu nikiwa nae bar tunapiga vyombo.Mhhhhh huyo atakuwa anawawekea comment ngumu msitoke(kuwasagia kunguni kwa kuwa hamna access ya kuona comments),nyinyi kwa kuwa anawaonesha tabasamu mnajua hana shida anawatakia mema.
Ndio wqpige rejection Halmashauri yoteeee??Ety ni watu wanasema inasababishwa na utitiri wa waombaji, kwamba ni wengi hivyo ndio maana wengine wanapigwa rejected hivyo
Halmashauri yetu woteee ni REJECTED. Kuanzia walianza Vacancy Request mpaka kwa waliopiga Transfer Direct woteeee REJECTED.Wamekula lini hao mkuu, usikute watu hawajui kama wanajibu kumbe/lakini wengine wanakula rejected 😁