online GOVT applications
Senior Member
- Sep 7, 2026
- 185
- 182
Lakini mpaka uombeKwa Uelewa wangu Inawezekana mkuu_ muhim inategemea na nafasi unayotaka kuhamia; mfano kwa nafasi ya Ukufunzi kwa vyuo vya kati kama DIT, GPA Kuanzia 3.5 na kwa vyuo vikuu kwa nafasi ya kuwa Mhadhiri ni 3.8 Lakini katika nafasi ambazo sio za Ufundishaji kama Admission Officer, Quality Assurance na Warden kwa Taasisi za Elimu hazihitaji GPA
3.1MNiambieni kabla sijajichanganya pale TRA yule anaeanza kazi na degree ajira mpya scale yake TRA 4 ni pesa ngapi? Hapa nilipo mimi ni senior ila sioni mbele nataka kufanya recategorization nikaanze upya maisha TRA kwa fani nyingine niliyosomea.
Inategemea ila mara nyingi unaomba au wakitoa nafas (transfer vacancies) unaombaLakini mpaka uombe
Hivi siku hizi wana posho...?3.1M
Pole sana ndugu Ndio mifumo ya kisengee rushwa na ukiritimba
Haijafik apo uyo n mwenye CPA au 4 years degree3.1M
ninavyo jua mimi barua zote unazipata kwenye mfumo,hakuna barua inayotumwa physical,wewe ukiona barua kwenye ess yako basi ujue na kwenye taasisi wanatumiwaEty wadau,, hivi zile barua zinazotumwa kwenda taasisi ninayotoka na ninayotaka kuhamia zinakuwa na utofauti wa maudhui na ile barua ninayopokea muhusika mkuu..
Kati ya hizo taasisi na muhusika ni nani anayekuwa wa kwanza kupokea barua hizo kutoka Utumishi..?
kesi yako tofauti mkuu,kuna aina nyingi za uhamishoMIMI NILILETEWA PHYSICALLY HAKUKUWA NA CHA MFUMO KWA KUWW SIKUOMBA KUHAMA WALA KUHAMISHIWA KWENDA HALMASHAURI HUKU MKOANI.
BARUA ILIKUJA NIKAKABIDHIWA NA MTU WA MASIJALA YA SIRI KWAMBA NIMEHAMISHIWA HALMASHAURI
Matumaini yapo Mkuu kwa sababu hyo kujibiwa automatically inaendana na assumption kwamba ombi lako limekubaliwaNiliomba transfer kupitia dirisha la vacancy.
Wiki iliyopita nimejibiwa hivi:
Your transfer vacancy request is ACCEPTED. You can initiate transfer out request to desired authority.
Kwenye comments:
System auto-accepted Vacancy Request after exceeding 10 days without action at Destination Accounting Officer stage".
Je kuna matumaini yoyote hapo, ukizingatia imejibiwa automatically tu?
Liverpool VPN Uhamisho_
Posho zipo za hapa na pale ila sio kama zamani ila kama anaenda idara ya forodha hapo keshayapatia maishaHivi siku hizi wana posho...?
Ubaya wa auto unashangaa ukianza pale kwenye transfer inakwambia maybe not budgeted au hakuna nafasi,maana si inakua imepita tu automatically bila kuconfirm kama nafasi kweli ipo.Matumaini yapo Mkuu kwa sababu hyo kujibiwa automatically inaendana na assumption kwamba ombi lako limekubaliwa
Ubaya wa auto unashangaa ukianza pale kwenye transfer inakwambia maybe not budgeted au hakuna nafasi,maana si inakua imepita tu automatically bila kuconfirm kama nafasi kweli ipo.
Anachosema ni kweli kabisaUna uthibitisho wa hili uliloliandika hapa..?
Mie nina ushuhuda mkuu kuna jamaa kapata kibali cha uhamisho kupitia huo utaratibu wa auto,na hakupata changamoto yeyote wakati wa kuinitiate transfer requestUbaya wa auto unashangaa ukianza pale kwenye transfer inakwambia maybe not budgeted au hakuna nafasi,maana si inakua imepita tu automatically bila kuconfirm kama nafasi kweli ipo.
Utumishi wao ndo wataangalia kama nafasi ipo kule uendako mbona unatoboa kabisa kikubwa ulete ushuhuda ili tupeane moyoNiliomba transfer kupitia dirisha la vacancy.
Wiki iliyopita nimejibiwa hivi:
Your transfer vacancy request is ACCEPTED. You can initiate transfer out request to desired authority.
Kwenye comments:
System auto-accepted Vacancy Request after exceeding 10 days without action at Destination Accounting Officer stage".
Je kuna matumaini yoyote hapo, ukizingatia imejibiwa automatically tu?
Liverpool VPN Uhamisho_
Una uthibitisho wa hili uliloliandika hapa..?
Hlf kwa jinsi mfumo ulivyo,kama nafasi haiko budgeted au kwa sababu nyingine yeyote inakukatalia mapema kabsaa wakati wa kuomba vacancy request kabla ya hatua inayofuata ya kuinitiate transfer requestUbaya wa auto unashangaa ukianza pale kwenye transfer inakwambia maybe not budgeted au hakuna nafasi,maana si inakua imepita tu automatically bila kuconfirm kama nafasi kweli ipo.
Mkuu uko serious na hii figure uhakika kabisa ?3.1M