Spectrophotometry
Member
- Aug 2, 2026
- 51
- 101
Sio taasisi zote ziko vizuri kuna taasisi ambazo hazina makusanyo kabisa au makusanyo yao hafifu wanategemea bajeti kutoka serikali kuu. Hizo taasisi ziogope kama ukoma utakula unga kama nyoka.Ah π we jamaa kumbe upo taasisi tayari na bado unaona siyo ishu
Degree ajira mpya anaanza na ngapi mkuu mwenye scale ya TRA4 ?Haijafik apo uyo n mwenye CPA au 4 years degree
Hebu zitaje mzee tusije tukajichanganya siku ikifika ya kuweza kuhamaSio taasisi zote ziko vizuri kuna taasisi ambazo hazina makusanyo kabisa au makusanyo yao hafifu wanategemea bajeti kutoka serikali kuu. Hizo taasisi ziogope kama ukoma utakula unga kama nyoka.
Ni kweli kabsaa mkuu kuna taasisi mishahara mikubwa ila no safari,no posho zingine ni mwendo wa kusubir basic salary yaaan mwez to mwez mbona utajutaSio taasisi zote ziko vizuri kuna taasisi ambazo hazina makusanyo kabisa au makusanyo yao hafifu wanategemea bajeti kutoka serikali kuu. Hizo taasisi ziogope kama ukoma utakula unga kama nyoka.
Sio kwamba ikipita auto ndo haupati nafasi,kama nafasi ipo unapataMie nina ushuhuda mkuu kuna jamaa kapata kibali cha uhamisho kupitia huo utaratibu wa auto,na hakupata changamoto yeyote wakati wa kuinitiate transfer request
Hizi ninazo taja hapa nenda hazina dhiki ila zilizobaki nje ya hapo ambazo sijazitaja kuwa makini sana na fanya tafiti vya kutosha kabla ya kwendaHebu zitaje mzee tusije tukajichanganya siku ikifika ya kuweza kuhama
Umetisha mkuu hapo namba 5 upande wa mfuko wa mawasiliano kwa wote(UCSAF) ni balaa tupu,tuliwahi shiriki nao michezo ya kuvuta kamba wote ofisi zima wana vitambiHizi ninazo taja hapa nenda hazina dhiki ila zilizobaki nje ya hapo ambazo sijazitaja kuwa makini sana na fanya tafiti vya kutosha kabla ya kwenda
1. Mifuko ya hifadhi yote na bima PSSSF, NSSF, NHIF, WCF
2. Taasisi zilizo chini ya wizara ya fedha Hazina, BOT, UTT, IFM, CSMA
3. Taasisi chini ya wizara ya uchukuzi LATRA, TANROAD, TASAC, ATCL
4. Taasisi za wizara ya afya MSD, TMDA, MUHIMBILI, JKCI
5. Taasisi wizara ya mawasiliano TCRA, UCSAF, eGA
6. Taasisi wizara ya nishati na madini TPDC, PURA, TMA,
7. Taasisi wizara ya viwanda TBS, BRELA
8. Taasisi wizara ya maliasili TANAPA, NGORONGORO
9. Taasisi wizara ya elimu TEA, NECTA
10. Taasisi wizara ya Tamisemi TARURA
Mavazi tu ya watumishi yanatosha kujua kama hii taasisi hapa nitakula maini au nitakula nyasi. Unakaa mapokezi watumishi wote wanaopita hakuna hata mmoja aliyevaa hata kiatu cha 150000 jua hapo taa nyekundu imewaka ni wewe sasa kuamua kupita au kusimamaUmetisha mkuu hapo namba 5 upande wa mfuko wa mawasiliano kwa wote(UCSAF) ni balaa tupu,tuliwahi shiriki nao michezo ya kuvuta kamba wote ofisi zima wana vitambi
AlooUbaya wa auto unashangaa ukianza pale kwenye transfer inakwambia maybe not budgeted au hakuna nafasi,maana si inakua imepita tu automatically bila kuconfirm kama nafasi kweli ipo.
Hlf tukumbushane tu wakuu,kabla ujafanya maamuzi ya kuhamia sehemu hakikisha umefanya utafiti wa kutosha uko unakotaka kuhamia kukoje??vinginevyo unaweza jutia kwa nn ulifanya uamuzi wa kuhamaMavazi tu ya watumishi yanatosha kujua kama hii taasisi hapa nitakula maini au nitakula nyasi. Unakaa mapokezi watumishi wote wanaopita hakuna hata mmoja aliyevaa hata kiatu cha 150000 jua hapo taa nyekundu imewaka ni wewe sasa kuamua kupita au kusimama
Kuna taasisi zipo hapo umezitaja, ni njaa tupu, kila siku watumishi wanazikimbia. Kuna zingine upo sawaHizi ninazo taja hapa nenda hazina dhiki ila zilizobaki nje ya hapo ambazo sijazitaja kuwa makini sana na fanya tafiti vya kutosha kabla ya kwenda
1. Mifuko ya hifadhi yote na bima PSSSF, NSSF, NHIF, WCF
2. Taasisi zilizo chini ya wizara ya fedha Hazina, BOT, UTT, IFM, CSMA
3. Taasisi chini ya wizara ya uchukuzi LATRA, TANROAD, TASAC, ATCL
4. Taasisi za wizara ya afya MSD, TMDA, MUHIMBILI, JKCI
5. Taasisi wizara ya mawasiliano TCRA, UCSAF, eGA
6. Taasisi wizara ya nishati na madini TPDC, PURA, TMA,
7. Taasisi wizara ya viwanda TBS, BRELA
8. Taasisi wizara ya maliasili TANAPA, NGORONGORO
9. Taasisi wizara ya elimu TEA, NECTA
10. Taasisi wizara ya Tamisemi TARURA
Duh je sisi walimu hahaha?Mavazi tu ya watumishi yanatosha kujua kama hii taasisi hapa nitakula maini au nitakula nyasi. Unakaa mapokezi watumishi wote wanaopita hakuna hata mmoja aliyevaa hata kiatu cha 150000 jua hapo taa nyekundu imewaka ni wewe sasa kuamua kupita au kusimama
Shukrani chiefHizi ninazo taja hapa nenda hazina dhiki ila zilizobaki nje ya hapo ambazo sijazitaja kuwa makini sana na fanya tafiti vya kutosha kabla ya kwenda
1. Mifuko ya hifadhi yote na bima PSSSF, NSSF, NHIF, WCF
2. Taasisi zilizo chini ya wizara ya fedha Hazina, BOT, UTT, IFM, CSMA
3. Taasisi chini ya wizara ya uchukuzi LATRA, TANROAD, TASAC, ATCL
4. Taasisi za wizara ya afya MSD, TMDA, MUHIMBILI, JKCI
5. Taasisi wizara ya mawasiliano TCRA, UCSAF, eGA
6. Taasisi wizara ya nishati na madini TPDC, PURA, TMA,
7. Taasisi wizara ya viwanda TBS, BRELA
8. Taasisi wizara ya maliasili TANAPA, NGORONGORO
9. Taasisi wizara ya elimu TEA, NECTA
10. Taasisi wizara ya Tamisemi TARURA
Zitaje tusaidiane chiefKuna taasisi zipo hapo umezitaja, ni njaa tupu, kila siku watumishi wanazikimbia. Kuna zingine upo sawa
Kuna watu kama NAOT, hujawataja ila hawana njaa.
Weka uthibitisho basi tuoneAnachosema ni kweli kabisa
TARURA wanalia kilio cha kusaga meno sa hivi,waombe ROAD FUND kieleweke.La sivyo sio sehemu ya kukimbiliaHizi ninazo taja hapa nenda hazina dhiki ila zilizobaki nje ya hapo ambazo sijazitaja kuwa makini sana na fanya tafiti vya kutosha kabla ya kwenda
1. Mifuko ya hifadhi yote na bima PSSSF, NSSF, NHIF, WCF
2. Taasisi zilizo chini ya wizara ya fedha Hazina, BOT, UTT, IFM, CSMA
3. Taasisi chini ya wizara ya uchukuzi LATRA, TANROAD, TASAC, ATCL
4. Taasisi za wizara ya afya MSD, TMDA, MUHIMBILI, JKCI
5. Taasisi wizara ya mawasiliano TCRA, UCSAF, eGA
6. Taasisi wizara ya nishati na madini TPDC, PURA, TMA,
7. Taasisi wizara ya viwanda TBS, BRELA
8. Taasisi wizara ya maliasili TANAPA, NGORONGORO
9. Taasisi wizara ya elimu TEA, NECTA
10. Taasisi wizara ya Tamisemi TARURA
NAOT mshahara ni kama Halmashauri tu,tofauti wao NAOT wanapewa posho nyingi za kufanya kazi za nje na pia wanalambishwa sana asali huko wanakoenda kukagua.Kuna taasisi zipo hapo umezitaja, ni njaa tupu, kila siku watumishi wanazikimbia. Kuna zingine upo sawa
Kuna watu kama NAOT, hujawataja ila hawana njaa.
Babu jibu umegewa wiki iliyopita hadi leo unajiuliza cha kufanya?Niliomba transfer kupitia dirisha la vacancy.
Wiki iliyopita nimejibiwa hivi:
Your transfer vacancy request is ACCEPTED. You can initiate transfer out request to desired authority.
Kwenye comments:
System auto-accepted Vacancy Request after exceeding 10 days without action at Destination Accounting Officer stage".
Je kuna matumaini yoyote hapo, ukizingatia imejibiwa automatically tu?
Liverpool VPN Uhamisho_
Haha mkuu kitambo sana nilipata wizara ya elimu nikaibukia TRA kwa mlango mwingine Mungu mkubwaMkuu, Twinawe nakukumbuka sana Ile miaka tunapambana kusubiri placement Utumishi Leo tunakutana Tena kwenye Uzi wetu pendwa wa kuhama - Kusibiri vibali.. Hivi ulillamba asali TRA au ni halmashauri vile..?