HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi kumbe UCSAF nao wana maisha ....? Mishahara ya kwa officer inaweza kwenda kias gani..?
 
Na kati ya tcra, ucsaf na tpdc nani yuko vyema zaidi
 
NAOT mshahara ni kama Halmashauri tu,tofauti wao NAOT wanapewa posho nyingi za kufanya kazi za nje na pia wanalambishwa sana asali huko wanakoenda kukagua.
Mzee ukiangalia mshahara utakwama, hao jamaa hata ukiwaona watumishi wake, unaona kuna kheri.
 
Na kati ya tcra, ucsaf na tpdc nani yuko vyema zaidi
Wote wako vizuri ila TCRA ni habari nyingine kabsaa wale ndo wanalamba asali ya nchi, miposho kama yote ila shda ipo kwenye kupata nafasi za kuhamia taasisi kama hizo maana vigogo wote wanatamani watoto wao waende hapo, so competition yake sio poa maana kila mtu anapatolea macho
 
.HII YA KWANGU IPO KATIKA AINA IPI YA UHAMISHO??? NA KWANINI HALMASHAURI NA SIYO TASAC AU BOT AU KWINGINEKO???
Pole sana mkuu,nakumbuka miaka ile ya nyuma wakati wa Magufuli walipoifuta SSRA kuna mdada alihamishiwa Halmashauri aisii aliacha kazi maana akikumbuka asali aliyokuwa anailamba akiwa SSRA na uko alikohamishiwa ni kama Mbingu na Ardhi ila uzuri alikuwa keshainvest vya kutosha,huku maofisin kuna fitna nyingi sana ila fanya research utagundua kua hata katika kuhamishwa kwako na KM-UTUMISHI kuna mtu wa hapo ofisini ulipotoka alihusika
 
Endelea kuvuta subra mkuu utatoboa tu Inshallah
 
Sawa, watakulipa na kufanya back date sasa
 
Nahitaji kuhama mkoani kuja dar dau mil2 malipo baada ya kazi au nitaweka kwa mtu wa kat

Nahitaji kuhama mkoani kuja dar dau mil2 malipo baada ya kazi au nitaweka kwa mtu wa kati
Hahahaha 😆 mkuu naona huhitaji konakona. Ukipata tushtue maana mambo yashakuwa magumu. Mimi yangu wanambie Iko kwa Mfumo wa shati😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…