HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa kawaida, mchakato huwa unachukua kati ya wiki 2 hadi 4, inategemea na wingi wa maombi yaliyopo na utayari wa mfumo, kwa kuwa una muda mfupi kabla ya kurudi chuoni, hali inaweza kuwa ya kusuasua.

Kukataliwa na Utumishi inawezekana kabisa maana wao huwa wanaangalia staffing levels, mahitaji ya taasisi unayotoka, na kama kuna kizuizi chochote cha kiutawala kama rekodi yako ya awali ya Stop Pay.

Kwenda Dodoma siyo lazima kwenda personally na mara nyingi haishauriwi kwani mifumo ni ya kidijitali, njia bora ni kuwasiliana na Afisa Utumishi wa taasisi unayokwenda ili wao wafuatilie kwa kutumia official channels au barua za kikazi.
 
Asanteee.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Taasisi moja ya maokoto sanaa
Nililkuwa ""Focal person"" wao huko Halmashauri.

Mi nachoogopa na concern yangu ni ""Hivi kama mkurugenzi wako kapitisha ina maana karuhusu uondoke, Je Utumishi wao HAWAWEZI REJECT??""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Jibu ni ndiyo. Utumishi wanao uamuzi maana DED anaweza kukosea au kuwa biased. Pili inawezekana unapotakiwa kuhamia kumejaa, hivyo utumishi wakakataa. Siyo kuwa Utumishi ni Rubber Stamp.
 
Jibu ni ndiyo. Utumishi wanao uamuzi maana DED anaweza kukosea au kuwa biased. Pili inawezekana unapotakiwa kuhamia kumejaa, hivyo utumishi wakakataa. Siyo kuwa Utumishi ni Rubber Stamp.
Asante

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nawe ulianza kuomba Vacancy transfer..?
 
Nawe ulianza kuomba Vacancy transfer..?
Hapana mkuu, Mimi nilienda kwenye mamlaka ambayo nataka kuhamia kuulizia kama nafasi ipo, wakanijibu kuwa niandike barua kisha wakajibu kuwa kuna nafasi ya senior Engineer II. Nikaandika barua kwa KM kuomba uhamisho kwenda huko na kuambatanisha ile barua kama attachment. Baada ya 40 days nikaona barua na APPROVED status.
 
Hiyo Barua ndio mbadala wa "Vacancy Request""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hebu nitumie PM hiyo Approved status nione inavyokuwa (hide taarifa zako muhimu) maana naisubiri kwa hamu sana😁. Kwa Mantiki hiyo wewe uliomba kupitia dirisha la Normal
 
Hebu nitumie PM hiyo Approved status nione inavyokuwa (hide taarifa zako muhimu) maana naisubiri kwa hamu sana😁. Kwa Mantiki hiyo wewe uliomba kupitia dirisha la Normal
Sawa mkuu. Check PM
 
Ukiishafikia level hiyo shushu zipo nyingi tu hasa za kuhamia. Heko kwako Senior engineer.
 
Hongera, vipi umeshafanikiwa kupata kibali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…