HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hahahahahah kwanini mkuu..?
Lengo la module ya uhamisho ni kulimiti movement za uhamisho kwa watumishi wa umma na sio kurahisisha.

Ni speed gavana ya uhamisho..wajinga ndio watadhani mfumo umekuja kuwakomboa.
 
Lengo la module ya uhamisho ni kulimiti movement za uhamisho kwa watumishi wa umma na sio kurahisisha.

Ni speed gavana ya uhamisho..wajinga ndio watadhani mfumo umekuja kuwakomboa.
Ina limit na pia inarahisisha. Zamani watu walikuwa wanahama kwa barua za kufoji, haijaisha ila itapunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…