Habari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni.
Ndugu zangu,bibi yenu baada ya kupewa vihela vyangu vya kustaafu nikavitumia kujenga kajumba ka ndoto zangu ka mtindo wa KUFICHA BATI.
kIla kitu kimeenda sawa kuanzia weyering Jimsam bot dari linavutia.Fundi blamping abarikiwe kwa kuniwezesha kwenda haja nikiwa nimekaa na kuoga kwa bomba la mvua.
Hakika vijana wamenipa tabasamu kwa kunijengea kajumba kazuri ila tabasamu langu liliyeyuka ghafla baada ya mvua kidogo kunyesha jana na kugundua kajumba kangu kanavuja hadi mikanda ya jimsam bot imedondoka😭😭😭😭
Bati halivuji bali maji yanachuruzika ukutani zile sehemu bati lilipogusana na ukuta.Rangi yangu ishaanza kuharibika kwa michirizi😭😭😭Yaani huyu kijana nimemwambia asiporekebisha namvulia nguo awehuke na alivyo mjaa laana anasema bibi vua tu😭😭😭😭😭😭
Eti wataalamu,ni kweli kwamba akichimba ukuta hlf akaingiza bati na kuchapia udongo wa semint kali litaisha tatizo?
Je ni kweli kuwa baada ya muda hizo bati zitaoza na tatizo litajirudia?
Ni kweli kwamba kuna gundi inaweza kutumika kwa matokeo mazuri?
Je kuna mbinu bora zaidi mnaweza kunishauri mbali ya hiyo aliyonishauri fundi wangu?
Natanguliza mate ya baraka kwa wajukuu wote mtakaotoa ushauri mzuri wa kurekebisha nyumba ya bibi yenu.
ASANTENI🙏🙏🙏