Ukifika site usiweze kutatua tatizo hizo gharama zinakua za kazi gani? Mafundi mmeanza kua kama madalali?Site ipo wapi?
Pia, kuvisit site kuna gharama zake.
Ukiwa tayari nitafute.
Kwa ufupi tatizo linaweza tatuliwa
Sawa.Ukifika site usiweze kutatua tatizo hizo gharama zinakua za kazi gani? Mafundi mmeanza kua kama madalali?
Unataka ukamzibie au ukamzibe Bibi mtu? 🤭😜Titanic inazama hata babu yako hajazaliwa, iwe wewe?
Gundi ya Hybrid/Polymer (Sealant & Adhesive) inapatikana kampuni ya Nabaki Afrika. Nije nikuzibie mzee mwenzangu?😋
Acha tu nikupe hii kazi upate hela ya abaya la mjukuu wangu Atoto Idd haiko mbaliSina jibu pia mkuu, nipo bize kuomba kazi ya kurekebisha paa😋
ID mpya raha sana bibi.Acha tu nikupe hii kazi upate hela ya abaya la mjukuu wangu Atoto Idd haiko mbali
Ukifika site usiweze kutatua tatizo hizo gharama zinakua za kazi gani? Mafundi mmeanza kua kama madalali?
Binafsi siwezi kumleta fundi site nisimpe nauli na ya chakulaSawa.
Unaenda hospital kwa gharama zako. Ukifika unaambiwa ulipie ukamuone doctor. NA MNAZITOA.
Fundi anaekuja site kwa gharama zake na muda wake unaona hafai hata kufidiwa nauli yake.
Kweli haya ni maajabu.
Mnatuona kama vikaragosi.
Kumbe wewe ID mpya lakini nguo za zamani🤣🤣🤣🤣Acha tu nikupe hii kazi upate hela ya abaya la mjukuu wangu Atoto Idd haiko mbali
Raha Sana mjukuu wangu.ID mpya raha sana bibi.
Afuu huu mwandiko kama naujua vile😄
Id na nguo vyote vipya nimekua msomaji ila juzi nikaona nijiunge nanyi🙏Kumbe wewe ID mpya lakini nguo za zamani🤣🤣🤣🤣
Nipe kwzi kwanza mengine tutajua bimstaafu!
Kuingiza bati na kuchapia na cement sio suluhu ya hilo tatizo kwa sababu bati na ukuta ni aina mbili tofauti za material ambazo huwa zinatembea tofauti (movement) ukuta ni mgumu na unachelewa kupata joto na kupoa lakini bati hupata joto haraka na kusinyaa hivyo inapelekea kutokea nyufa zinazopenyesha maji njia sahihi ni kutumia gundi ya bati mafundi huiita hivyo inashikamanisha bati na ukuta ikiambatana na kitambaa (geotextile , fabric au kitambaa cha waterproof ) hiki kinasaidia wakati bati na ukuta vikivutana kinatanuka sawa na mvutano na kurudi kulingana na movement hivyo tatizo linakua limeishaHabari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni.
Ndugu zangu,bibi yenu baada ya kupewa vihela vyangu vya kustaafu nikavitumia kujenga kajumba ka ndoto zangu ka mtindo wa KUFICHA BATI.
kIla kitu kimeenda sawa kuanzia weyering Jimsam bot dari linavutia.Fundi blamping abarikiwe kwa kuniwezesha kwenda haja nikiwa nimekaa na kuoga kwa bomba la mvua.
Hakika vijana wamenipa tabasamu kwa kunijengea kajumba kazuri ila tabasamu langu liliyeyuka ghafla baada ya mvua kidogo kunyesha jana na kugundua kajumba kangu kanavuja hadi mikanda ya jimsam bot imedondoka😭😭😭😭
Bati halivuji bali maji yanachuruzika ukutani zile sehemu bati lilipogusana na ukuta.Rangi yangu ishaanza kuharibika kwa michirizi😭😭😭Yaani huyu kijana nimemwambia asiporekebisha namvulia nguo awehuke na alivyo mjaa laana anasema bibi vua tu😭😭😭😭😭😭
Eti wataalamu,ni kweli kwamba akichimba ukuta hlf akaingiza bati na kuchapia udongo wa semint kali litaisha tatizo?
Je ni kweli kuwa baada ya muda hizo bati zitaoza na tatizo litajirudia?
Ni kweli kwamba kuna gundi inaweza kutumika kwa matokeo mazuri?
Je kuna mbinu bora zaidi mnaweza kunishauri mbali ya hiyo aliyonishauri fundi wangu?
Natanguliza mate ya baraka kwa wajukuu wote mtakaotoa ushauri mzuri wa kurekebisha nyumba ya bibi yenu.
ASANTENI🙏🙏🙏
Na ya michirizi pia ikiwezekana tafadhali...Picha ya paa tafadhali.....
Asante sana mkuu.Kuingiza bati na kuchapia na cement sio suluhu ya hilo tatizo kwa sababu bati na ukuta ni aina mbili tofauti za material ambazo huwa zinatembea tofauti (movement) ukuta ni mgumu na unachelewa kupata joto na kupoa lakini bati hupata joto haraka na kusinyaa hivyo inapelekea kutokea nyufa zinazopenyesha maji njia sahihi ni kutumia gundi ya bati mafundi huiita hivyo inashikamanisha bati na ukuta ikiambatana na kitambaa (geotextile , fabric au kitambaa cha waterproof ) hiki kinasaidia wakati bati na ukuta vikivutana kinatanuka sawa na mvutano na kurudi kulingana na movement hivyo tatizo linakua limeisha
Gundi ya bati ipo kwa ujazo wa 4 na 20kg
Pia kitambaa kinapimwa kwa mita
Nicheck dm ukihitaji
Na ya michirizi pia ikiwezekana tafadhali...
Hio ni sawa na pia ni tofauti na fundi aquote bei yake kabisa kabla ya kuja site..... binafsi ntamuelewa fundi atayeniomba nauli kuja site kabla hatujapatana kazi( japo ntamuona hayupo serious na haijawahi kunitokea).... ila kamwe siwezi mlipa fundi anayeniambia kabisa kua ukitaka nije site yako kuona kazi(ambayo atafanya yeye na kulipwa) inabidi unilipe kiasi flani gharama za kuja siteBinafsi siwezi kumleta fundi site nisimpe nauli na ya chakula
Nadhani anafanya hivyo ili kuepuka kupotezewa muda na maboss wasio serious.Hio ni sawa na pia ni tofauti na fundi aquote bei yake kabisa kabla ya kuja site..... binafsi ntamuelewa fundi atayeniomba nauli kuja site kabla hatujapatana kazi( japo ntamuona hayupo serious na haijawahi kunitokea).... ila kamwe siwezi mlipa fundi anayeniambia kabisa kua ukitaka nije site yako kuona kazi(ambayo atafanya yeye na kulipwa) inabidi unilipe kiasi flani gharama za kuja site
Siwezi