- Thread starter
- #61
Kesho kuna mtu anaenda kurekebisha natumai atawezaPicha ya ulivyotaka kumwehusha fundi iko wapo bibi?
anyway, hizo paa bila kuwa na fundi mtaalamu hutoboi bibi

Hiyo picha ukiiona si utawehukaPicha ya ulivyotaka kumwehusha fundi iko wapo bibi?
anyway, hizo paa bila kuwa na fundi mtaalamu hutoboi bibi
Kuna Kitu kinaitwa FLASH COVER,Bati kama bati halivuji.
Kwenye misumari hakuvuji.
Maji yanapenye zile sehemu ambazo bati linagusana na ukuta then yqnqchuruzikia ukutani