Wataalamu wa KUEZEKA/KUPAUA/ROOFING hii changamoto inatatuliwa vipi?

Wataalamu wa KUEZEKA/KUPAUA/ROOFING hii changamoto inatatuliwa vipi?

Titanic inazama hata babu yako hajazaliwa, iwe wewe?

Gundi ya Hybrid/Polymer (Sealant & Adhesive) inapatikana kampuni ya Nabaki Afrika. Nije nikuzibie mzee mwenzangu?😋
Si juzi tu hapo 1912 ndo imezama.!!Mwaka nilipokea kipaimara.

Asante.Nawaamini sana Nabaki kwenye Roofing.
Nadhani gundi haitaozesha bati🙏🙏
 
Tatizo lako linahitaji fundi kuja site, kuona tatizo na kukuanbia nini cha kufanya.

Vyote ulivyotaja vinawezekana, kuanzia kuchimba ukuta, kutumia gundi maalumu au kutumia bati za kukunjia kwenye migongo ya kuta na bati(hata sijui kama naeleweka)
Unaeleweka zinaitwa 'gata'
 
Acha tu arekebishe huyu huyu wewe utakua wa gharama sitakumudu🙏🙏
Hilo nalo ni tatizo jengine Bibi mstaafu.

Huyo fundi wa mwanzo kafanya nyumba yako ya thamani ivuje halafu bado unamkimbilia kurekebisha, si ashashindwa huyo?

Tatizo ni uchache wa mafundi mahali ulipo ama?

Sikia, achana na huyo 'fundi maiko'tafuta mafundi wengine wenye weledi.

Kama ni gharama keshakutia hasara, hata akirudi kurekebisha yeye gharama za hasara haziepukiki.

Chakufanya ita mafundi tofauti tofauti kama watatu na kuwasikia ushauri wao, tathimini zao za ufundi na gharama zao za kazi, kisha mpatie mmoja wao tenda hiyo.

Kama ulivyoshauriwa na wadau humu, kuna gundi, saruji na gata, zote ni njia za kuzuia kuvuja.

Fundi atakayefika 'site' ndiye atakuyekupatia ushauri maridhawa nini cha kufanya.

Halafu inaonekana huyo fundi kanjanja kala sana hela za mstaafu mwaka huu, maana unavyomwamini ka'mtoto wako wa kuzaa, kha!
 
Sina ushauri mkuu mpaka nione live
Umenifurahisha tu uliposema umestaafu.
Wastaafu wengi huwa mnatumambo mambo mkishika hela nyingi.😀
Yup.Huwa hatushauriki hela ikikata ndo unaweza kutushauri tukakuelewa😃
 
Yup.Huwa hatushauriki hela ikikata ndo unaweza kutushauri tukakuelewa😃
Nataka nifahamu jambo
Mfano kila mwezi si huwa unalipwa pensheni labd laki 5, ilitokea umeondoka duniani, hio hela inasitishwa moja kwa moja? Au itakusanywa kwa miaka mi 3 then familia yako yaani watoto watalipwa as mirathi?
Maana tz mambo hayaeleeweki mengi, samahani kwa usumbufu
 
Jamani kwann tuongelee kuondoka duniani wkt ndo kwanza nimejenga makazi ya ndoto yangu?

Naomba ushauri wa bati lisivuje niishi kwenye kijumba changu kwa furaha sina mpango wa kufa hv karibuni🙏🙏
 
Jamani kwann tuongelee kuondoka duniani wkt ndo kwanza nimejenga makazi ya ndoto yangu?

Naomba ushauri wa bati lisivuje niishi kwenye kijumba changu kwa furaha sina mpango wa kufa hv karibuni🙏🙏
Hahahah sio wewe mkuu acha uoga
Nilitaka tu nipate abc.
Ila samahani
 
Back
Top Bottom