Naona wamegomaπ acha wajuzi waje Bibi
Picha siwez pata mjukuuPicha ya paa tafadhali.....
Kwa kawaida kuvujisha maji usababisha na mambo yafuatayoHabari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni.
Ndugu zangu,bibi yenu baada ya kupewa vihela vyangu vya kustaafu nikavitumia kujenga kajumba ka ndoto zangu ka mtindo wa KUFICHA BATI.
kIla kitu kimeenda sawa kuanzia weyering Jimsam bot dari linavutia.Fundi blamping abarikiwe kwa kuniwezesha kwenda haja nikiwa nimekaa na kuoga kwa bomba la mvua.
Hakika vijana wamenipa tabasamu kwa kunijengea kajumba kazuri ila tabasamu langu liliyeyuka ghafla baada ya mvua kidogo kunyesha jana na kugundua kajumba kangu kanavuja hadi mikanda ya jimsam bot imedondokaππππ
Bati halivuji bali maji yanachuruzika ukutani zile sehemu bati lilipogusana na ukuta.Rangi yangu ishaanza kuharibika kwa michiriziπππYaani huyu kijana nimemwambia asiporekebisha namvulia nguo awehuke na alivyo mjaa laana anasema bibi vua tuππππππ
Eti wataalamu,ni kweli kwamba akichimba ukuta hlf akaingiza bati na kuchapia udongo wa semint kali litaisha tatizo?
Je ni kweli kuwa baada ya muda hizo bati zitaoza na tatizo litajirudia?
Ni kweli kwamba kuna gundi inaweza kutumika kwa matokeo mazuri?
Je kuna mbinu bora zaidi mnaweza kunishauri mbali ya hiyo aliyonishauri fundi wangu?
Natanguliza mate ya baraka kwa wajukuu wote mtakaotoa ushauri mzuri wa kurekebisha nyumba ya bibi yenu.
ASANTENIπππ
Site ipo wapi?Habari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni.

LImefichwa upande mmoja tu.Huo unaochuruzisha maji ukutaniBati lako limefichwa kote halionekani au kuna upande upo wazi
HIyo gundi inaitwaje mjukuu wangu?Tatizo lako linahitaji fundi kuja site, kuona tatizo na kukuanbia nini cha kufanya.
Vyote ulivyotaja vinawezekana, kuanzia kuchimba ukuta, kutumia gundi maalumu au kutumia bati za kukunjia kwenye migongo ya kuta na bati(hata sijui kama naeleweka)
Picha sina mtoto wanguPicha iko wapi sasa Bi mkubwa
Kwamba mimi mjukuu wako? Wakati naweza kuja kukuweka kabisa, we mshkaji wangu tu huna uzee wowoteHIyo gundi inaitwaje mjukuu wangu?
Bati kama bati halivuji.Kwa kawaida kuvujisha maji usababisha na mambo yafuatayo
(1) fundi kukosea kugonga misumari vizuri
(2) mfereji wa kutoa maji kuzidiwa
(3) kwenye kingo za ukuta kupenyeza maji
(4) size ya bati iliyotumika
NImekuelewa mtaalam wangu.(1) Mafundi mara nyingi uwa wanamshauri mteja juu juu tu pasipo kumueleza vizuri changamoto yake.hii imesababisha wateja wengi kupata hasara pasipo kutegemea baada ya kuingizwa mkenge na mafundi.upauaji huu una kanuni zake, kama kanuni hazikufatwa basi utegemee kulia muda wowote baada ya mvua kunyesha.
Kanuni za upauaji
(1) fundi lazima hakikishe anajenga mfereji usiopungua(upana futi 2 na kimo inch 6)unaokinga maji kutoka kwenye paa kupeleka nnje
(2) Baada ya kupauwa fundi anatakiwa kupiga splaster kuta zote za juu mpaka karibu na bati linapoishia,bati halitakiwi kusakafiwa ciement maana litawai kuhalibika baada ya muda mfupi kwa iyo fundi hakikishe ameacha upenyo kati la palster na bati(visigusane)
(3)(Kuweka kofia maalum au kuweka tiles).
Kulingana na hali ya maisha ilivyo, kofia maalum za kuvisha juu kuzuia maji kupenya pembeni ni gharama sana kwa iyo njia nyingine ambayo nayo ni sahihi ni kuweka tiles.
(4) bati sahihi kwa upauaji wa kisasa ni gauge 28.bati likiwa jepesi basi tegemea misumari kuvujisha maji kwa sababu bati likishashabeba mzigo wa maji litabonyea na misumari itakuwa imeacha uwazi utaoingiza maji ndani kiwepesi.
Kama fundi alienda na kanuni hizi uwezi sikia paa lako likivuja
Mtoni kijichi ila hela ya kummuvistisha fundi site sina mjukuu wangu.Site ipo wapi?
Pia, kuvisit site kuna gharama zake.
Ukiwa tayari nitafute.
Kwa ufupi tatizo linaweza tatuliwa
Titanic inazama uko la ngapi?Kwamba mimi mjukuu wako? Wakati naweza kuja kukuweka kabisa, we mshkaji wangu tu huna uzee wowote
Titanic inazama hata babu yako hajazaliwa, iwe wewe?Titanic inazama uko la ngapi?
Hiyo gundi inaitwaje mkuu?
Inauzwa kwa ujazo gani bei gani?
ππ