Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Karume aliuawa vipi na Nyerere?Karume
Pole sana!Karume aliuawa vipi na Nyerere?
Ilikuwaje?kambona aliponea chopli chopli
Ilikuwaje?
Uwongo mtupu 👎🤬Karume,titi Mohammed, Hassan bin amir, abdallah fundikira(alikimbilia Mombasa)teddy kaselabantu,kasanga tumbo, yule mbaya aliyeandika the dark side of nyerere na nyerere,a saint or untarnished tyranny orodha ni ndefu
Nyerere hakuteka watu ila alimkamata Kasim Hanga na kumkabidhi mikononi mwa hasimu wake Karume aliyemuua , ndipo Nyerere alipoona ukatili wa Karume hakurudia tena kumkabidhi watuhumiwa..Karume aliuawa vipi na Nyerere?
Sasa hapo unanipaPole sana!
Hakuna serikali isiyofanya hivyo,hasa kwa aina ya watawala wa kidikteta kama nyerereNyerere hakuwa na upuuzi wa kuua, kuteka na kupoteza watu.
Haya mambo yalianza enzi za Mkwere
Aliyemuua karume aliapa kumuua karume akiwa kozi jeshini ulaya,mara nyingi tu alisikika,huko ulaya mashariki wakamtaarifu nyerere, dingi kama hakusikiaSasa hapo unanipa
Hao walitekwa au kuuawa... Ni kweli maisha yao yote waliishi nje ya Tanzania kuogopa kuuawa ama kukamatwa?Karume,titi Mohammed, Hassan bin amir, abdallah fundikira(alikimbilia Mombasa)teddy kaselabantu,kasanga tumbo, yule mbaya aliyeandika the dark side of nyerere na nyerere,a saint or untarnished tyranny orodha ni ndefu
Alikua mchambaji
Unataka wa kuuawa tu?Hao walitekwa au kuuawa... Ni kweli maisha yao yote waliishi nje ya Tanzania kuogopa kuuawa ama kukamatwa?
Kati ya hao uliowaandika ni yupi aliwahi kusema kuwa Nyerere anataka kumuua.
Kwani Karume jioni aliyouawa alikuwa wapi. Ili tuweze kuhusisha na hiyo hoja yako ya kuwa karume alikuwa atangaze kuitoa Zanzibar kwenye Muungano.Aliyemuua karume aliapa kumuua karume akiwa kozi jeshini ulaya,mara nyingi tu alisikika,huko ulaya mashariki wakamtaarifu nyerere, dingi kama hakusikia
Siku karume anauawa alipanga jioni kuzungumza na wazanzibar so wakae mkao wa kula, ilikua atangaze kuitoa zenji kwenye muungano
Kwani hujasoma kichwa cha habari?Unataka wa kuuawa tu?
Nyerere kuna watu wengi kawafunga kwa sheria dhalimu za indefinite detention.Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa.
Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao walikuwa ni kina nani?