Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
- #61
Kabisa hata kama ana ushahidi wa kimazingira aweke tu.Weka ushahidi hata wa kimazingira.
Kabisa hata kama ana ushahidi wa kimazingira aweke tu.Weka ushahidi hata wa kimazingira.
tujikite kutafuta suluhu ya matatizo ya nchi kwasasa, ni kweli historia ni muhimu. TAL anawashinda wengi ktk kutambua ukweli wa historia ya matatizo tunayo jadili.Umeelewa swali au kazi(assignment) uliyo pewa?
Titi Mohamed amekufa mwaka 2000 Afrika Kusini
Nyerere amekufa 1999. Sasa marehemu alimuuwa vipi Titi Mohamed?
Kuna wengine hapo waliokufa vifo vya kawaida vya wazi tu. Sijui Nyerere aliwauwa vipi?
Hii chuki mbaya sana.
Karume kauwawa na wazanzibar wenzie ambao hatima yao inajulikana. Nyerere anahusikaje hapo?
Weka ushahidi hata wa kimazingira.
Inaaemekana kuwa aliyemuua Karume aliamini kuwa Karume alimuua baba yake. Karume alijua kuwa amejiapiza kumuua lakini hakumtilia maanani. Aliamini utoto ndio unaomsumbua. Nyerere hakuhusika.Aliyemuua karume aliapa kumuua karume akiwa kozi jeshini ulaya,mara nyingi tu alisikika,huko ulaya mashariki wakamtaarifu nyerere, dingi kama hakusikia
Siku karume anauawa alipanga jioni kuzungumza na wazanzibar so wakae mkao wa kula, ilikua atangaze kuitoa zenji kwenye muungano
Unatengenezewa story,kuna kitu inaitwa kitembelea nyota, yaani watu walipitia humohumo,humud hakua peke yake kwenye kutekeleza mauaji,hao wengine motive ilikua nini?Aliye
Inaaemekana kuwa aliyemuua Karume aliamini kuwa Karume alimuua baba yake. Karume alijua kuwa amejiapiza kumuua lakini hakumtilia maanani. Aliamini utoto ndio unaomsumbua. Nyerere hakuhusika.
Hayo ya Karume kutaka kujitoa kwenye Muungano ni mazungumzo ya vijiweni. Hakuna ushahidi wowote wa nia hiyo. Acheni uongo.
Amandla...
Soma tena topic,usikurupuke kama uharoUmeelewa swali au kazi(assignment) uliyo pewa?
Titi Mohamed amekufa mwaka 2000 Afrika Kusini
Nyerere amekufa 1999. Sasa marehemu alimuuwa vipi Titi Mohamed?
Kuna wengine hapo waliokufa vifo vya kawaida vya wazi tu. Sijui Nyerere aliwauwa vipi?
Hii chuki mbaya sana.
Karume kauwawa na wazanzibar wenzie ambao hatima yao inajulikana. Nyerere anahusikaje hapo?
Weka ushahidi hata wa kimazingira.
Baada ya mwinyi hakuna aloyenyongwa, wanahofia keleleHujui historia, Mwinyi, Kikwete ndo wamenyonga watu wengi.
The Dark side of Nyerere's Legacy by Ludovic S. Mwijage | Open Library The Dark side of Nyerere's Legacy by Ludovic S. Mwijage | Open LibraryWewe ni mlemavu wa akili. Karume aliuawa na Nyerere!! Lazima uwe mwendawazimu.
Karume aliuawa na mwanajeshi ambaye baba yake aliuawa na Karume. Yale yalikuwa ni mauaji ya kisasi.
Bibi Titi Mohamed, Fundikira, Kasela Bantu, Kasanga Tumbo, watu wote wanafahamu kuwa walikufa vifo vya kawaida, hawakuuawa na yeyote.
Wakati wa Mwalimu Nyerere, hakukuwa na utekaji wala upotezaji watu. Hata waliotaka kumpindua, walikamatwa na kupelekwa mahakamani. Mwalimu Nyerere, kwa nafasi yake kama Rais, waliokuwa karibu naye wanasema alikuwa hapendi kabisa kuweka sahihi kuidhinisha kifo hata kwa mtu aliyehukumiwa na mahakama kuuawa. Katika kipindi chake chote cha utawala alitia saini kuidhinisha hukumu ya kifo kwa watu wawili tu: Mwamindi, muuaji wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa Dr. Kleruu; na wa pili alikuwa ni mhindi wa Songea aliyemwua mkewe ili alipwe bima ya kifo aliyokuwa amemkatia mkewe. Hakuna mwingine yeyote ambaye mwalimu aliidhinisha hukumu zao za kifo.
Nyerere hakuwa na upuuzi wa kuua, kuteka na kupoteza watu.
Haya mambo yalianza enzi za Mkwere.
Hao wengine sijui,ila Kasanga Tumbo ni mzee wangu na tumeishi Tabora miaka yote na Nyerere kafariki kabla ya mzeeKarume,titi Mohammed, Hassan bin amir, abdallah fundikira(alikimbilia Mombasa)teddy kaselabantu,kasanga tumbo, yule mbaya aliyeandika the dark side of nyerere na nyerere,a saint or untarnished tyranny orodha ni ndefu
Wewe unaongea siasa za maandiko,hapa tunajadili fact ukweli ni kuwa Karume aliuwawa na Nyerere na wengine wengi tu.Wewe ni mlemavu wa akili. Karume aliuawa na Nyerere!! Lazima uwe mwendawazimu.
Karume aliuawa na mwanajeshi ambaye baba yake aliuawa na Karume. Yale yalikuwa ni mauaji ya kisasi.
Bibi Titi Mohamed, Fundikira, Kasela Bantu, Kasanga Tumbo, watu wote wanafahamu kuwa walikufa vifo vya kawaida, hawakuuawa na yeyote.
Wakati wa Mwalimu Nyerere, hakukuwa na utekaji wala upotezaji watu. Hata waliotaka kumpindua, walikamatwa na kupelekwa mahakamani. Mwalimu Nyerere, kwa nafasi yake kama Rais, waliokuwa karibu naye wanasema alikuwa hapendi kabisa kuweka sahihi kuidhinisha kifo hata kwa mtu aliyehukumiwa na mahakama kuuawa. Katika kipindi chake chote cha utawala alitia saini kuidhinisha hukumu ya kifo kwa watu wawili tu: Mwamindi, muuaji wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa Dr. Kleruu; na wa pili alikuwa ni mhindi wa Songea aliyemwua mkewe ili alipwe bima ya kifo aliyokuwa amemkatia mkewe. Hakuna mwingine yeyote ambaye mwalimu aliidhinisha hukumu zao za kifo.
Hata Mimi nimeshangaa kweliMambo haya yamekoma na kuisha wakati wa mwinyi jk na SSH .
KIAZI WEWE
Vijana ni vichwa panzi , wamebeba mafuvu tu bila u bongoHata Mimi nimeshangaa kweli
Kuna waliokimbia nchi........Karume,titi Mohammed, Hassan bin amir, abdallah fundikira(alikimbilia Mombasa)teddy kaselabantu,kasanga tumbo, yule mbaya aliyeandika the dark side of nyerere na nyerere,a saint or untarnished tyranny orodha ni ndefu
Nyerere ni muasisi wa chama gani ? Je hicho chama kimeleta maendeleo gani katika miaka 64 ya uhuru ? Nyerere aliisaidia vyama gani kwa kuweka kambi hapa nchini kwa ajili ya mapambano ya uhuru ? Je hivyo vyama vilivyoweka kambi hapa nchini vimesaidiaje nchi zao ? Ukishajibu haya ndio utajua kuwa nyerere alikuaa kilaza au mwerevu. Haiwezekani baada ya kupata uhuru chama chake na vyama alivyovisaidia vyote vikaua uchumi wa nchi zao na kushindwa kupiga hatua hata ndogo. Siku zinavyozidi kwenda ndio anazidi kuonekana mjinga na mpumbavu. Huko mbeleni CCM ikiendelea hivi kuna siku maandamano yatafanyika na watu wataenda kuchoma moto mussoleum kule BUTIAMA.Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa.
Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao walikuwa ni kina nani?
You must be crazy unataka ushahidi kwenye siasa,huo ni zaidi ya uwendawazimu.Aliye
Inaaemekana kuwa aliyemuua Karume aliamini kuwa Karume alimuua baba yake. Karume alijua kuwa amejiapiza kumuua lakini hakumtilia maanani. Aliamini utoto ndio unaomsumbua. Nyerere hakuhusika.
Hayo ya Karume kutaka kujitoa kwenye Muungano ni mazungumzo ya vijiweni. Hakuna ushahidi wowote wa nia hiyo. Acheni uongo.
Amandla...
Huyo warioba anayepiga kelele sasa hivi,akiwa waziri mkuu kuna dogo wa udsm alitekwa akapelekwa huko bandarini,akishikikiwa na njemba zimeshiba zimeenda juu na madevu, warioba akaenda huko mafichoni kumtisha dogo
Kama unadhani hayo hawakujifunza kwa mtangulizi wao,pole
Mada haijasema kuuawa tuHao wengine sijui,ila Kasanga Tumbo ni mzee wangu na tumeishi Tabora miaka yote na Nyerere kafariki kabla ya mzee
Luteni Humud na wenzake walikuwa sehemu ya mpango ulioongozwa na wakina Babu wa kumuondoa Karume.Unatengenezewa story,kuna kitu inaitwa kitembelea nyota, yaani watu walipitia humohumo,humud hakua peke yake kwenye kutekeleza mauaji,hao wengine motive ilikua nini?
Mshabadili story baada ya kuuliza wengine motive ilikua nini,babu hakuhusika na hayo mauaji,na probably alikua serikali ya muunganoLuteni Humud na wenzake walikuwa sehemu ya mpango ulioongozwa na wakina Babu wa kumuondoa Karume.
Motive ilikuwa ni ukatili na utawala wa mabavu wa Karume. Wazanzibari walikuwa wanapumua pale tu wanapokuja Bara. Ingawa viongozi wa jaribio hilo walitaka liahirishwe lakini wauaji waliamua kuendelea nalo maana walijua kwa vyovyote vile wangeuawa maana tayari walikuwa wanatafutwa.
Karume angehakikisha wanauawa kama angepona jaribio hilo. Kama alivyofanya kwa wakina Mdungi Ussi, Kassim Hanga na wengine.
Amandla...