Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Mpango mzima wa kumuua Karume ulifanywa na wazanzibari wenyewe ambao walichoka na jinsi alivyokuwa akiendesha nchi. Wakubwa walio husika ni wakina Babu, Mahfudh n.k. Wako wanao husisha chama cha UMMA na kifo hicho. Wanadai lengo lilikuwa kumkamata Karume lakini Humud aliamua kumuua kwa sababu aliamini Karume alimuua baba yake.You must be crazy unataka ushahidi kwenye siasa,huo ni zaidi ya uwendawazimu.
Unadhani ni kawaida kwa Raia wa kawaida au mwanajeshi kumchapa Rais risasi pasipo mikono ya wakubwa wenzake.
Toka usingizini brother.
Amandla...