gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Akicheza keram viwanja vya ikuluKwani Karume jioni aliyouawa alikuwa wapi. Ili tuweze kuhusisha na hiyo hoja yako ya kuwa karume alikuwa atangaze kuitoa Zanzibar kwenye Muungano.
Kuhusu kunyonga wawili tu si kweli,na hili linathubitishwa na yule mzee aliyekua mnyongaji mstaafu Dodoma aliyefanyiwa mahojiano na mwananchi,huyu mzee alianza kunyonga tangu nyerere akiwa madarakani na alisema kanyonga wengi tuNyerere kuna watu wengi kawafunga kwa sheria dhalimu za indefinite detention.
Wengine kawafungia vijiji fulani kutoka mpaka kwa kibali maalum.
Kina Balozi Christopher Kassanga Tumbo, Joseph Kassela Bantu, Chief David Kidaha Makwaia, walikuwa wengi sana hawa.
Kuna jamaa alikwenda likizo Tanzania miaka ya tisini, akaenda Kagera kuna kijiji alikuwapo mzee mmoja kafungiwa hivyo. Sasa jamaa akawa anataka kwenda na yule mzee mjini.
Yule mzee akamwambia hawezi kwenda mjini mpaka apate kibali maalum.
Hapo ni karibu miaaka 20 baada ya Nyerere kutoka urais, huyu mzee alikuwa bado anaogopa kutoka kijijini bila kibali. Ikabidi yule mgeni amwambie Nyerere si rais na hakuna atakayekufanya kitu. Wakaenda mjini.
Kwenye kuua Nyerere hakuua sana kiasi cha cases kuwa nyingi zinazojulikana. Hakuhitaji kuua hivyo kwa sababu watu wengi walimuheshimu na kumuogopa.
In fact Nyerere hata wafungwa waliohukumiwa kunyongwa alitia saini wawili tu wanyongwe, yule mkulima Mwakindi aliyemuua Dr. Kleruu, na mtu mmoja tu mwingine nimemsahau.
Ndo nashangaa unauliza ikiwa aliwaua au laaKwani hujasoma kichwa cha habari?
Inawezekana kulikuwa na hiyo Sheria ya "Indefinite detention". Umetaja watu kadhaa hapo juu, lakini ilipofika kuelezea kwa kina unatoa mfano wa Mzee asiye na jina wa huko Kagera.Kuna jamaa alikwenda likizo Tanzania miaka ya tisini, akaenda Kagera kuna kijiji alikuwapo mzee mmoja kafungiwa hivyo.
Aliuwawa na serikali ya Karume kwa madai ya uhaini.Kassin Hanga alipotea na mpaka leo haijulikani kaburi lake lilipo.
Sijaelewa sentence ya mwisho hapo Kwa jk na sshNyerere alikuwa na njia tatu
Detention
Au kukuondoa nchini
Au kukuteka na kukuua
Mambo haya yamekoma na kuisha wakati wa Mwinyi , JK na SSH
Kwa nini watu wengi walimuheshimu na kumuogopa Nyerere tofauti na wengine waliomfuatia?Nyerere kuna watu wengi kawafunga kwa sheria dhalimu za indefinite detention.
Wengine kawafungia vijiji fulani kutoka mpaka kwa kibali maalum.
Kina Balozi Christopher Kassanga Tumbo, Joseph Kassela Bantu, Chief David Kidaha Makwaia, walikuwa wengi sana hawa.
Kuna jamaa alikwenda likizo Tanzania miaka ya tisini, akaenda Kagera kuna kijiji alikuwapo mzee mmoja kafungiwa hivyo. Sasa jamaa akawa anataka kwenda na yule mzee mjini.
Yule mzee akamwambia hawezi kwenda mjini mpaka apate kibali maalum.
Hapo ni karibu miaaka 20 baada ya Nyerere kutoka urais, huyu mzee alikuwa bado anaogopa kutoka kijijini bila kibali. Ikabidi yule mgeni amwambie Nyerere si rais na hakuna atakayekufanya kitu. Wakaenda mjini.
Kwenye kuua Nyerere hakuua sana kiasi cha cases kuwa nyingi zinazojulikana. Hakuhitaji kuua hivyo kwa sababu watu wengi walimuheshimu na kumuogopa.
In fact Nyerere hata wafungwa waliohukumiwa kunyongwa alitia saini wawili tu wanyongwe, yule mkulima Mwakindi aliyemuua Dr. Kleruu, na mtu mmoja tu mwingine nimemsahau.
Kwa nini?Inawezekana kulikuwa na hiyo Sheria ya "Indefinite detention". Umetaja watu kadhaa hapo juu, lakini ilipofika kuelezea kwa kina unatoa mfano wa Mzee asiye na jina wa huko Kagera.
Kwa mtazamo wangu huyo Mzee asiye na jina haikufaa kutolea mfano hoja zako.
Kassim Hanga inajulikana nini kilitokea hadi akauawa... Katika hili Nyerere ahusiki.Kassin Hanga alipotea na mpaka leo haijulikani kaburi lake lilipo.
Mambo haya yamekoma na kuisha wakati wa mwinyi jk na SSH .Nyerere alikuwa na njia tatu
Detention
Au kukuondoa nchini
Au kukuteka na kukuua
Mambo haya yamekoma na kuisha wakati wa Mwinyi , JK na SSH
Mara ya mwisho kuonekana ilikua tanganyika akichambwa na nyerere kwenye mkutano wa hadhara,tuamini vipi aliuawa na karume?Aliuwawq na serikali ya Karume kwa madai ya uhaini.
Nadhani jambo likiwepo/tokea huwa kunakuwa na nadharia njama (Conspiracy theories) kadhaa kulihusu.Kwa nini?
Huo mkutano ulifanyikia wapi na maneno gani Nyerere alisema dhidi ya Hanga.Mara ya mwisho kuonekana ilikua tanganyika akichambwa na nyerere kwenye mkutano wa hadhara,tuamini vipi aliuawa na karume?
Enzi za Nyerere walioenda kinyume naye walikuwa wanapigwa exile tu mf TUNTEMEKE Sanga , Aboud Jumbe , Kambona ,tofauti na sasa ukienda kinyume na mtawala unatekwa na kufungwa juu ,unawekewa sumu,unapotezwa ,unanyimwa ulaji na kuambiwa staafu.Nyerere hakuwa na upuuzi wa kuua, kuteka na kupoteza watu.
Haya mambo yalianza enzi za Mkwere.
Kwa nini watu wengi walimuheshimu na kumuogopa Nyerere tofauti na wengine waliomfuatia?
Waliuwawa? Au hujui kusomaKarume,titi Mohammed, Hassan bin amir, abdallah fundikira(alikimbilia Mombasa)teddy kaselabantu,kasanga tumbo, yule mbaya aliyeandika the dark side of nyerere na nyerere,a saint or untarnished tyranny orodha ni ndefu
Hiyo sheria nzima ni udhalimu, kwa hivyo jambo hilo kumtokea mtu yeyote ni udhalimu, bila kujali jina wala sababu.Nadhani jambo likiwepo/tokea huwa kunakuwa na nadharia njama (Conspiracy theories) kadhaa kulihusu.
Kwa mfano kwetu sisi watu wa Nyanda za juu kusini Kuna kisa cha Tuntemeke Sanga kuwekwa kizuizini.
Kwa ivo mada kama hii kunyumbulishwa kwake majina ya wahusika ni kitu muhimu sana.