Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa.
Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao walikuwa ni kina nani?
Jini hata ukilifungia kwenye chumba litahangaika angalau litoe kidole kuonesha uwepo wake.Nyerere alikuwa na njia tatu
Detention
Au kukuondoa nchini
Au kukuteka na kukuua
Mambo haya yamekoma na kuisha wakati wa Mwinyi , JK na SSH
Bwashee kiazi mbatata au kiazi kikuuu 😂😂😂Mambo haya yamekoma na kuisha wakati wa mwinyi jk na SSH .
KIAZI WEWE
Hii mbuzi ni KIAZI mbatata bwasheeBwashee kiazi mbatata au kiazi kikuuu 😂😂😂
Afadhali umerudiii
Mnataka kujua kila rais aliua wangapi?, hiyo hesabu ni pamoja na waliouawa kwa adhabu ya kunyongwa?
Umeeleza vyema sana sanaa 😊 kwa kuongezea nyerere alikuwa mjamaa (Utopian socialist)Nyerere alikuwa groomed kuongoza watu, alisoma na yeye mwenyewe alipenda kuwa "philosopher king". Kiongozi mwenye busara. How much he achieved that is debatable, lakini ukimsikiliza, ukiangalia vitabu alivyosoma na hata kutafsiri, the latest being Plato's "Republic", unamuona huyu bwana angalau anamsoma Plato.
Sasa Kikwete Magufuli na Samia wamemsoma Plato?
Nyerere alianza kuongoza watu tangu enzi za ukoloni akipita nchi nzima kuwaeleza jambo ambalo wengi hawakufikiri linawezekana, kudai uhuru.
Kwa hivyo Nyerere aliheshimika kama kiongozi aliyesaidia Watanganyika kupata uhuru.
Na wakati anaanza kuongoza nchi, kulikuwa hakuna watu wengi, kama milioni 9-10 tu. Ni kama Greater Dar es salaam tu kwa sasa.
Kwa hivyo alivyoachiwa nchi na wakoloni, nchi haikuwa comolex sana, aliweza kui shape vizuri alivyotaka yeye, na hata alipopata changamoto, ali deal nazo na kujifunza mapema (1964 Tanganyika mutiny, the Citizenship Act, labour strikes , internal dissent, geopolitics, etc).
Long story short Nyerere alichukua nchi tangu mwanzo, nchi ilikuwa simpke, alijua na kiasi fulani kujali hali ya Watanzania. Nchi haikuwa na complexity kama sasa hakukuwa na TV, hakukuwa na mtandao, magazeti karibu yote yalikuwa ya chama na serikali, wasomi walikuwa wachache, Watanzania waliosafiri walikuwa wachache.
Kadiri siku zilivyoenda ndivyo yote hayo yalibadilika.
Mwinyi kaingia kuwa rais tushaanza kumuangalia Michael Jackson na Harrison Ford kwenye TV. By 1989 tushaona Tiananmen Square na Perestroika. Watanzania wametoka kuwa nchi ya watu milioni 9 -10 mpaka sasa milioni 70.
Tumeongeza idadi ya watu mara 7 tangu uhuru.
Huwezi kutegemea nchi iwe vilevike viongozi waweze kui control kirahisi.
Hususana kama weledi wa viongozi unazidi kupungua.
Kadiri tulivyoendelea ndivyo viongozi walivyozidi kukosa grooming, wakati kiukweli ni kwamba walitakiwa kuongwza grooming.
Of course Nywrere ataonekana aliweza kui control nchi zaidi ya Samia.
Welcome 😁 back, tulikumiss SANAAAAAA 🔙Hii mbuzi ni KIAZI mbatata bwashee
Kuna kitu sikielewi, sababu ya rais kuamua nani anyongwe na nani asinyongwe baada ya hukumu ya mahakama ni nini hasa!..Ndio maana ya Ukweli, Haki, Maridhiano, na Upatanishi.
Yaani ingekuwa mahakama ikisema tu kazi inaendelea.Kuna kitu sikielewi, sababu ya rais kuamua nani anyongwe na nani asinyongwe baada ya hukumu ya mahakama ni nini hasa!
Hii naiona kama rais kuingilia muhimili wa mahakama.
Kwa nini wamtaarifu Mwalimu badala ya mlengwa Karume? Alichokuwa anakifanya ulikuwa lilikuwa kosa la jinai kwa hakukamatwa alipotua Nchini?wakamtaarifu
Jeshi ni suala la muunganoKwa nini wamtaarifu Mwalimu badala ya mlengwa Karume? Alichokuwa anakifanya ulikuwa lilikuwa kosa la jinai kwa hakukamatwa alipotua Nchini?
Wewe ni mlemavu wa akili. Karume aliuawa na Nyerere!! Lazima uwe mwendawazimu.Karume,titi Mohammed, Hassan bin amir, abdallah fundikira(alikimbilia Mombasa)teddy kaselabantu,kasanga tumbo, yule mbaya aliyeandika the dark side of nyerere na nyerere,a saint or untarnished tyranny orodha ni ndefu
Utekaji wao ulikua digital mtu anapote kimya kinya bila kushtukiwa alienda wapiMara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa.
Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao walikuwa ni kina nani?
Tangu lini Kobaz akajua kusoma? Heading iko wazi, yeye anakuja kupuyanga.Waliuwawa? Au hujui kusoma
Hujui historia, Mwinyi, Kikwete ndo wamenyonga watu wengi.Kuhusu kunyonga wawili tu si kweli,na hili linathubitishwa na yule mzee aliyekua mnyongaji mstaafu Dodoma aliyefanyiwa mahojiano na mwananchi,huyu mzee alianza kunyonga tangu nyerere akiwa madarakani na alisema kanyonga wengi tu
Siku za mwanzo kunyonga watu walikua wakimtokea ndotoni mpaka alipofanyiwa mambo na wazee wake
Tabora kuna story ya mtu kunyongwa na kutokufa,ikabidi mnyongaji ampopotoe shingo
Mnyongaji akawa mwendawazimu wa kudumu
Hizi story za nyerere kunyonga wawili tu ni za kutaka kum-potray kama mtakatifu
Umeelewa swali au kazi(assignment) uliyo pewa?Karume,titi Mohammed, Hassan bin amir, abdallah fundikira(alikimbilia Mombasa)teddy kaselabantu,kasanga tumbo, yule mbaya aliyeandika the dark side of nyerere na nyerere,a saint or untarnished tyranny orodha ni ndefu