Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Mpango mzima wa kumuua Karume ulifanywa na wazanzibari wenyewe ambao walichoka na jinsi alivyokuwa akiendesha nchi. Wakubwa walio husika ni wakina Babu, Mahfudh n.k. Wako wanao husisha chama cha UMMA na kifo hicho. Wanadai lengo lilikuwa kumkamata Karume lakini Humud aliamua kumuua kwa sababu aliamini Karume alimuua baba yake.You must be crazy unataka ushahidi kwenye siasa,huo ni zaidi ya uwendawazimu.
Unadhani ni kawaida kwa Raia wa kawaida au mwanajeshi kumchapa Rais risasi pasipo mikono ya wakubwa wenzake.
Toka usingizini brother.
Bila shaka!!Mpango mzima wa kumuua Karume ulifanywa na wazanzibari wenyewe ambao walichoka na jinsi alivyokuwa akiendesha nchi. Wakubwa walio husika ni wakina Babu, Mahfudh n.k. Wako wanao husisha chama cha UMMA na kifo hicho. Wanadai lengo lilikuwa kumkamata Karume lakini Humud aliamua kumuua kwa sababu aliamini Karume alimuua baba yake.
Amandla...
Pale wizara ya mambo ya ndani ulikuwa ukikatiza barabarani ukachungulia kule ndani unaviona vibanda vyenye rangi nyekundu ukipita muda wa mchana unasikia sauti za watu wanaolia, vile vilikuwa vyumba vya mateso.Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa.
Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao walikuwa ni kina nani?
Kwa hiyo ccm Ina uzoefu wa kuteka na kuua Kwa muda mrefu sio au ilikuwa serikali ya chadema kipindi hiyo ?Huyo warioba anayepiga kelele sasa hivi,akiwa waziri mkuu kuna dogo wa udsm alitekwa akapelekwa huko bandarini,akishikikiwa na njemba zimeshiba zimeenda juu na madevu, warioba akaenda huko mafichoni kumtisha dogo
Kama unadhani hayo hawakujifunza kwa mtangulizi wao,pole
Kasim Hanga, Otman sharifuKarume,titi Mohammed, Hassan bin amir, abdallah fundikira(alikimbilia Mombasa)teddy kaselabantu,kasanga tumbo, yule mbaya aliyeandika the dark side of nyerere na nyerere,a saint or untarnished tyranny orodha ni ndefu
Ndio shida ya kujadiliana kitu na fanatic.Mshabadili story baada ya kuuliza wengine motive ilikua nini,babu hakuhusika na hayo mauaji,na probably alikua serikali ya muungano
Najua babu alikua professor na mjamaa,akipewa silaha na china ndiyo kisa marekani na uingereza wakamshurutisha nyerere aungane na ZanzibarNdio shida ya kujadiliana kitu na fanatic.
Abdul Rahman Babu alisoma Cuba, USSR na China.
Unaamini palikua na wizi wa silaha!?..hizo silaha zilikua zimekaa kiboya boya tu kiasi cha kuziiba,na kwamba ingejulikana zinaenda tumika zenji kumuua karume hivyo Babu akaona asishiriki!?..hai-make sense!Alikuwa kiongozi wa chama cha kisoshalisti cha UMMA. Karume hakuwaamini wakina Babu ndio maana alimtaka Nyerere awachukue Bara. Wakina Babu hawakumkubali Karume kwa sababu waliamini kuwa hakuwa msoshalisti na alitawala kama sultan wa kiarabu kwa ukatili, ubabe na ukandamizaji wa haki za binadamu. Mipango ya kumuondoa Karume madarakani ilifanyika nyumbani kwa Babu. Siku moja kabla ya tukio Babu aliondoka kwa mashua kwenda Zanzibar. Akiwa njiani alipata taarifa kuwa wizi wa silaha uliofanywa na Kapteni Ahmada na Luteni Hamoud uligunduliwa na serikali. Babu akarudi Bara. Ingawa iliamuliwa kuwa mpango usitishwe, Ahmada na Hamud walikataa na wao pamoja na wachache wengine wakiwa pamoja na raia Chwaya waliendelea na mpango huo.
Hapa patamu,linda 'watu wako'Baada ya Karume kuuawa, viongozi wengi wa chama cha Umma walikamatwa wakiwemo Babu na Mahfudh. Nyerere alikataa kuwapeleka Zanzibar maana alijua yangewakuta yaliyowakuta wakina Kassim Hanga.
Salim Ahmed Salim alikataliwa na genge la wazee wa CCM zenji kwa kumkomoa nyerere baada ya nyerere kumpora jumbe uanachama wa CCM na hivyo urais wa ZanzibarWalifungiwa bara na baadae kuachiwa ( kama ambavyo wakina Bibi Titi walivyoachiwa). Abdul Rahman Babu akahamia Marekani. Inawekana kuwa shutma kuhusu kuhusika kwa waliokuwa wanachama wa UMMA kulichangia wazanzibari kumkataa katakata Salim Ahmed Salim.
Hiyo siyo motive,kwa kuwa humud hakua peke yake kwenye hiloBaba yake Humud ambae aliitwa Mohamed Humud alimuua Sheikh Ahmed el-Mugheiry mwaka 1955 baada ya huyo Sheikh kususia mgomo ulioitwa na waarabu wenzake. Mohamed Humud alihukumiwa kifo lakini Sultan aliibadilisha kuwa kifungo cha maisha. Baada ya Mapinduzi ya 1964 alitolewa gerezani lakini baadae alikamatwa tena na hakuonekana tena. Watu waliofungwa nae ndio walimwambia Humud kuwa baba yake aliteswa na kuuawa akiwa gerezani. Hiyo ndio ikawa motive ya Humud kumuua Karume.

Wacenge washanihack,yaani replies zinajirudiarudia tuAmandla...
Hizi habari zinashindikanaje kuthibitishwa Leo? Maana zama hizi tuna majina kama ya Kina Ali Kibao, Ben sanane, Mdude Nyangali, na wengineo.Pale wizara ya mambo ya ndani ulikuwa ukikatiza barabarani ukachungulia kule ndani unaviona vibanda vyenye rangi nyekundu ukipita muda wa mchana unasikia sauti za watu wanaolia, vile vilikuwa vyumba vya mateso.
Magazeti yalikuwa yanasimamiwa na watu wa Mwalimu Nyerere, SHIHATA waliokuwa shirika la habari bosi wao alikuwa Mwalimu Nyerere.Hizi habari zinashindikanaje kuthibitishwa Leo? Maana zama hizi tuna majina kama ya Kina Ali Kibao, Ben sanane, Mdude Nyangali, na wengineo.
Vipi majina ya hao waliokuwa wanateswa kwenye hivyo vijumba vyekundu!!!