Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Sheria Ni msumeno na Hakuna aliye juu ya Sheria ,Biswalo Je
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria Ni msumeno na Hakuna aliye juu ya Sheria ,Biswalo Je
Mimi Ni mkulima ninayetegemea jembe kupata chakula changu na siyo kwa ajili ya kuandika hapa ndio nipate chakula changuVijana waneona uchawa unalipa...ujinga mtupu.
Jamaa anaandika mashudu matupu hapa
CCM na serikali yake imejidhatiti katika Vita dhidi ya ufisadi na Rushwa,kwa hiyo Hakuna atakayesalimika katika msako wa wezi na mafisadi,hata wajifiche mashimoni watafikiwa na mkono wa serikali hii Mahiri na shupavu ya Rais wetu Hodari na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassanila weeeee tumghoje unazingua sana aisee...sijui mnyiha wa wp wewe hakyamungu, yaani unatia aibu sana .. sijui nani alikuleta mjini aisee, yaani huyo ndo wa kulaumiwa kbs kbs aisee. .ilitakiwa akuache huko huko nyimbiri na msangamweru uwe mtengeneza bunduki za kienyeji [emoji23][emoji23][emoji23]..huu uongo na nguvu unayoitumia hapa , lait ungeitumia kule kutengeneza magobore muda huu ungekuwa tajiri mkubwa hapo nyimbiri ... Chini ya chama kinachoitwa ccm upigaji hauwezi kuisha , na hata ww unatamani uteuliwe ili ukaibe ndo maana unaweka hiyo namba yko ya simu...weee veepi mnyiha weeee [emoji23][emoji1][emoji23]
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
hatua zipi wamewahi kuzichukua?? kwa nani na lini?? nani amefungwa wa ccm kwa ufisadi?? nani ametaifishiwa mali?? nani amefukuzwa kazi?? hakuna uwajibikaji na mnaojiita Wazalendo ndio chawa wazandiki na wanafki wa nchi hii ni WANAFKI na WALAJI wasaka fursa za Teuzi tu that's it.CCM na serikali Yake ni imara Sana ndio maana imekuwa ikichukua hatua za haraka na Kali kwa yeyote atakayebainika kwenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma
amegundua kina DPP walipiga hela za pre bargain kawafanya nini zaidi ya kuwateuwa kuwapa nafasi kubwa zaidi yenye immunity???? uwajibikaji uko wapi kaa utulize bwindo lako UCHAWA HAULIPIMimi Ni mkulima ninayetegemea jembe kupata chakula changu na siyo kwa ajili ya kuandika hapa ndio nipate chakula changu
Wizara ya Ardhi washafanya mambo yaoAwamu hii ya Rais Samia hakuna atakayesalimika na kuishi kwa amani ikiwa atabainika kugusa pesa za umma,ndio maana unaona Takukuru wapo kazini muda wote kufanya uchunguzi na upelelezi wa kina kufuatilia fedha za watanzania
CCM na serikali yake imejidhatiti katika Vita dhidi ya ufisadi na Rushwa,kwa hiyo Hakuna atakayesalimika katika msako wa wezi na mafisadi,hata wajifiche mashimoni watafikiwa na mkono wa serikali hii Mahiri na shupavu ya Rais wetu Hodari na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan
Deal la Anuani za mitaa unalijua?Mimi Ni mkulima ninayetegemea jembe kupata chakula changu na siyo kwa ajili ya kuandika hapa ndio nipate chakula changu
Serikali ipo kazini na IPO macho hivyo macho take yatamuone yeyote yule popote AlipoWizara ya Ardhi washafanya mambo yao
Na bado wapo Tu wanakula Maisha
Hapo sasa ndio chuki inakuja that's why hata ww unavyoandika hivi 90% ya comments wanakutukana
Ameen kubwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata ufanyeje,hautateuliwa kamwe na milele ameeni
Yes serikali ipo machoSerikali ipo kazini na IPO macho hivyo macho take yatamuone yeyote yule popote Alipo
Sheria za nchi yetu hazipo kimakundi makundi kulingana na vyama vya siasa,hivyo hakuna Sheria za Wana CCM na wasio Wana ccm linapokuja suala la uwajibikaji kisheriahatua zipi wamewahi kuzichukua?? kwa nani na lini?? nani amefungwa wa ccm kwa ufisadi?? nani ametaifishiwa mali?? nani amefukuzwa kazi?? hakuna uwajibikaji na mnaojiita Wazalendo ndio chawa wazandiki na wanafki wa nchi hii ni WANAFKI na WALAJI wasaka fursa za Teuzi tu that's it.
Kama nani aliewahi kuchukuliwa hatua za harakaCCM na serikali Yake ni imara Sana ndio maana imekuwa ikichukua hatua za haraka na Kali kwa yeyote atakayebainika kwenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma
Ndio serikali ipo pale bungeni na yote yanayozungumzwa na waheshimiwa wabunge serikali inayasikia kuyachukua na kuyafanyia kazi,kwa hiyo hata katika Hilo la Wizara ya ardhi naamini serikali yangu imeshaingia kazini hata kabla ripoti haijafika kwa wabunge,hivyo wahusika wajipange kujibuYes serikali ipo macho
Jana si umeona taarifa imetoka bungeni?
Na serikali yote iko pale, na hakuna Jambo limefanyika,
Mradi wa Anuani si umeshaisha? Umesikia takukuru kafanya anything?
Nothing kitafanyika never,
Hatua za haraka Ni pamoja na kutenguliwa uongozi kwa mhusika ili asije haribu uchunguzi,lakini pili Ni kukamatwa kuhojiwa na kuchunguzwa kiupelelezi kwa ajili ya kufikishwa ushahidi mahakamani juu ya mtuhumiwa,hivyo Nadhani unafahamu Ni viongozi wangapi wametenguliwa nyadhifa zao na kukamatwa na Takukuru kuhojiwa na kufikishwa mahakamani. Siku chache tu Nafikiri umesikia na kuona namna wakurugenzi wakifikishwa katika mahakamani zetuKama nani aliewahi kuchukuliwa hatua za haraka
Mngeonekana wa maana kama mngeanza na jaji Buswalo kwa kumvua ujaji Kisha kumfikisha mahakamani... Mnaishia kubweka bweka tu ... Alafu ww mnyiha punguza kujizima dataCCM na serikali yake imejidhatiti katika Vita dhidi ya ufisadi na Rushwa,kwa hiyo Hakuna atakayesalimika katika msako wa wezi na mafisadi,hata wajifiche mashimoni watafikiwa na mkono wa serikali hii Mahiri na shupavu ya Rais wetu Hodari na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan
Hahahahahaaaaaaaa huo moto unauwasha kwa kutumia gazeti lote hili hicho kiberiti ni butu sana .... nyakati za utopolo kwenye ufisadi ni sasa itavunja record toka uhuru.Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia alishaweka wazi na kujipambanua kimaneno na kimatendo juu ya hasira zake Kali na maamuzi yake magumu kwa yeyote atakaye chezea fedha za umma,Hana Cha Nani Wala Nani katika Hilo,hamuogopi mtu Wala haangalii sura katika hili, Hana uvumilivu Wala Subira katika suala la kumuwajibisha yeyote atakayebainika kwenda kinyume na utaratibu na miongozi ya matumizi ya Fedha za Umma, hapa Ni mwepesi kutumia kalamu yake kutengua na kuagiza uchunguzi wa haraka ufanyike ili wahusika wafikishwe haraka mahakamani kujibu mashitaka Yao.
Hii Ni kutokana na Rais wetu mpendwa Jasiri na shupavu mama Samia kutambua kuwa fedha za umma zinapaswa kutumika vizuri kwa Nidhamu katika kuwapatia huduma watanzania,Anatambua namna watanzania wanavyojinyima ili walipe Kodi,anatambua namna anavyohangaika huku na kule kutafuta fedha kwa ajili ya kupeleka huduma Bora kwa watanzania,Anatambua namna watanzania wanavyo vuja jasho kuchapa kazi na kulipa Kodi serikalini.
Rais wetu mpendwa anatambua watanzania wanyonge aliojitoa na kujitolea kuwatumikia kwa uzalendo Hadi kufikia hatua ya kukosa muda wa kupumzika na familia yake wanavyoumia,kusononeka ,kusikitika na kulia machozi pale wanaposikia Kuna watumishi au viongozi wachache walioapa au kulipwa mishahara mikubwa na minono yenye minofu kwa ajili ya kuwatumikia na kuwahudumia wamefuja na Kuchezea Fedha za Umma bila huruma Wala aibu kwa maslahi yao binafsi,Vijana waliomaliza vyuo vikuu wanaumia na kutokwa machozi wanapoona wanahangaika huku na kule kutafuta mitaji huku nyuma wengine wanakula pesa zao za Kodi bila huruma.
Rais Samia anatambua anaongoza Taifa la aina ipi,Anatambua anaongoza Taifa Ambalo wengi wanahitaji kusaidiwa kukwamuliwa kiuchumi,Anatambua wapo wazee huko vijijini wanahitaji usaidizi wa serikali yao kuwapatia huduma za matibabu pasipo malipo maana wengi wanakuwa hawajiwezi kifedha,Ndio maana Rais Samia hawezi kumvumilia yeyote atakaye chezea fedha za umma.
Rais Samia anatambua namna watanzania wanaolipa Kodi kwa uaminifu wanavyoumia wanaposikia Kuna watu waliopewa dhamana wamegeuka kuwa mchwa wa fedha zao,Rais Samia anatambua Jambo hili linawaumiza Sana walipa Kodi,linawapunguzia molari ya kulipa Kodi au kotoa risti au kudai risti,Rais wetu mpendwa mama Samia anatambua namna mijadala inavyokuwa mingi mitaani miongoni mwa watanzania wanaposikia halmashauli fulani mkurugenzi wake kafuja mamilioni ya Fedha bila huruma ili Hali wao Wana watoto majumbani mwao wanaoamka alfajili kufanya vibarua vya kubeba zege ili wajikimu kimaisha licha ya kuwa Wamesoma Hadi vyuo vikuu.
Hii ndio sababu Rais wetu mpendwa mama Samia amekuwa akichukua hatua za haraka Sana ikiwepo kutengua uteuzi na kuagiza uchunguzi wa haraka kupitia Takukuru, kwa kuwa anauchungu na maisha ya watanzania na anataka juhudi za kutafuta pesa anazozifanya zitoe matokeo chanya kwa watanzania badala ya kuwaneemesha wachache na familia zao huku kundi kubwa likibaki na unyonge.
Hii ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na kuungwa mkono na mamillion ya watanzania ambao wanatambua dhamira njema ya Rais wetu katika kulitumikia Taifa letu.
Songa mbele Rais wangu mh mama Samia,Mimi nitaendelea kukutetea na kukusemea kwa nguvu zangu zote katika yale yote unayolifanyia Taifa letu, nitaendelea kuwa mzalendo kwa Taifa langu na nchi yangu, Nitaendelea kutumia jukwaa hili kutoa ushauri wangu Kama mwananchi wa kawaida na mwenye upendo mkubwa Sana na Taifa langu.
usikate Tamaa Wala kukatishwa Tamaa na yeyote maana Tulio upande wako Ni wengi kuliko walio kinyume na wewe,Tumekukabidhi kila kitu Cha nchi hii na kukiweka mikononi mwako na tunaamini vyote vitakuwa salama,Tumia nguvu zako zote za kisheria na kikatiba kulinda Rasilimali za Taifa letu na kupambana na yeyote atakaye kuwa kikwazo katika kuwahudumia watanzania ikiwa ni pamoja na kumuweka pembeni na kumfikisha mahakamani, watanzania tupo bega kwa bega na wewe Rais wetu, Tunaendelea kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Ndio serikali ipo pale bungeni na yote yanayozungumzwa na waheshimiwa wabunge serikali inayasikia kuyachukua na kuyafanyia kazi,kwa hiyo hata katika Hilo la Wizara ya ardhi naamini serikali yangu imeshaingia kazini hata kabla ripoti haijafika kwa wabunge,hivyo wahusika wajipange kujibu