Watakiona chamoto watakaobainika Kuchezea fedha za Umma katika uongozi wa Rais Samia

Vijana waneona uchawa unalipa...ujinga mtupu.
Jamaa anaandika mashudu matupu hapa
Mimi Ni mkulima ninayetegemea jembe kupata chakula changu na siyo kwa ajili ya kuandika hapa ndio nipate chakula changu
 
CCM na serikali yake imejidhatiti katika Vita dhidi ya ufisadi na Rushwa,kwa hiyo Hakuna atakayesalimika katika msako wa wezi na mafisadi,hata wajifiche mashimoni watafikiwa na mkono wa serikali hii Mahiri na shupavu ya Rais wetu Hodari na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan
 
CCM na serikali Yake ni imara Sana ndio maana imekuwa ikichukua hatua za haraka na Kali kwa yeyote atakayebainika kwenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma
hatua zipi wamewahi kuzichukua?? kwa nani na lini?? nani amefungwa wa ccm kwa ufisadi?? nani ametaifishiwa mali?? nani amefukuzwa kazi?? hakuna uwajibikaji na mnaojiita Wazalendo ndio chawa wazandiki na wanafki wa nchi hii ni WANAFKI na WALAJI wasaka fursa za Teuzi tu that's it.
 
Mimi Ni mkulima ninayetegemea jembe kupata chakula changu na siyo kwa ajili ya kuandika hapa ndio nipate chakula changu
amegundua kina DPP walipiga hela za pre bargain kawafanya nini zaidi ya kuwateuwa kuwapa nafasi kubwa zaidi yenye immunity???? uwajibikaji uko wapi kaa utulize bwindo lako UCHAWA HAULIPI
 
Awamu hii ya Rais Samia hakuna atakayesalimika na kuishi kwa amani ikiwa atabainika kugusa pesa za umma,ndio maana unaona Takukuru wapo kazini muda wote kufanya uchunguzi na upelelezi wa kina kufuatilia fedha za watanzania
Wizara ya Ardhi washafanya mambo yao
Na bado wapo Tu wanakula Maisha

Hapo sasa ndio chuki inakuja that's why hata ww unavyoandika hivi 90% ya comments wanakutukana
 
Maneno yako ni Sawa na Ile nyimbo ya iyena iyena hahahaha hahaha
 
Mimi Ni mkulima ninayetegemea jembe kupata chakula changu na siyo kwa ajili ya kuandika hapa ndio nipate chakula changu
Deal la Anuani za mitaa unalijua?
Umeangalia vile vyuma na vile vibati?

Usitegemee wizi wataenda kuvunja bank hapana, ule sasa ndio wizi tena wizi mkuu
 
Wizara ya Ardhi washafanya mambo yao
Na bado wapo Tu wanakula Maisha

Hapo sasa ndio chuki inakuja that's why hata ww unavyoandika hivi 90% ya comments wanakutukana
Serikali ipo kazini na IPO macho hivyo macho take yatamuone yeyote yule popote Alipo
 
Samia mwenyewe akiuona huu uzi wako atakucheka kwa dharau sana!
 
Serikali ipo kazini na IPO macho hivyo macho take yatamuone yeyote yule popote Alipo
Yes serikali ipo macho
Jana si umeona taarifa imetoka bungeni?

Na serikali yote iko pale, na hakuna Jambo limefanyika,

Mradi wa Anuani si umeshaisha? Umesikia takukuru kafanya anything?

Nothing kitafanyika never,
 
Sheria za nchi yetu hazipo kimakundi makundi kulingana na vyama vya siasa,hivyo hakuna Sheria za Wana CCM na wasio Wana ccm linapokuja suala la uwajibikaji kisheria
 
CCM na serikali Yake ni imara Sana ndio maana imekuwa ikichukua hatua za haraka na Kali kwa yeyote atakayebainika kwenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma
Kama nani aliewahi kuchukuliwa hatua za haraka
 
Yes serikali ipo macho
Jana si umeona taarifa imetoka bungeni?

Na serikali yote iko pale, na hakuna Jambo limefanyika,

Mradi wa Anuani si umeshaisha? Umesikia takukuru kafanya anything?

Nothing kitafanyika never,
Ndio serikali ipo pale bungeni na yote yanayozungumzwa na waheshimiwa wabunge serikali inayasikia kuyachukua na kuyafanyia kazi,kwa hiyo hata katika Hilo la Wizara ya ardhi naamini serikali yangu imeshaingia kazini hata kabla ripoti haijafika kwa wabunge,hivyo wahusika wajipange kujibu
 
Kama nani aliewahi kuchukuliwa hatua za haraka
Hatua za haraka Ni pamoja na kutenguliwa uongozi kwa mhusika ili asije haribu uchunguzi,lakini pili Ni kukamatwa kuhojiwa na kuchunguzwa kiupelelezi kwa ajili ya kufikishwa ushahidi mahakamani juu ya mtuhumiwa,hivyo Nadhani unafahamu Ni viongozi wangapi wametenguliwa nyadhifa zao na kukamatwa na Takukuru kuhojiwa na kufikishwa mahakamani. Siku chache tu Nafikiri umesikia na kuona namna wakurugenzi wakifikishwa katika mahakamani zetu
 
Mngeonekana wa maana kama mngeanza na jaji Buswalo kwa kumvua ujaji Kisha kumfikisha mahakamani... Mnaishia kubweka bweka tu ... Alafu ww mnyiha punguza kujizima data

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahaaaaaaaa huo moto unauwasha kwa kutumia gazeti lote hili hicho kiberiti ni butu sana .... nyakati za utopolo kwenye ufisadi ni sasa itavunja record toka uhuru.
 
Ungepata hata uteuzi tatizo maandishi yanakwangusha tathimini ya upeo wako ni mdogo sana punguza maneno sifia kwa paragraphs angalau mbili tu.
 
Miez sita now since watu wamekula Ela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…