Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #81
Jaji haondolewi kirahisi Kama kumwondoa kiranja wa wanafunzi au Balozi wa nyumba kumiMngeonekana wa maana kama mngeanza na jaji Buswalo kwa kumvua ujaji Kisha kumfikisha mahakamani... Mnaishia kubweka bweka tu ... Alafu ww mnyiha punguza kujizima data
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Kwani wapi umesoma nimesema kuwa hii Ni barua ya maombi ya uteuziUngepata hata uteuzi tatizo maandishi yanakwangusha tathimini ya upeo wako ni mdogo sana punguza maneno sifia kwa paragraphs angalau mbili tu.
Ongea substances za kimaudhui sio ushobo shobo ambao haulipi, sio kusifia tu hiki chama chetu kimebweteka sanaKwani wapi umesoma nimesema kuwa hii Ni barua ya maombi ya uteuzi
Vyama vilivyobweteka Ni hivyo vyenye wenye kigoda wa kudumuOngea substances za kimaudhui sio ushobo shobo ambao haulipi, sio kusifia tu hiki chama chetu kimebweteka sana
Mpendwa, ambae uwezo wake wa kuchambua, kudadafua na kuchanganua mambo ni kwa kila jambo "hili nalo wajameni mkalitizameni"Rais wetu mpendwa alimaanisha kuwa kila kiongozi atosheke na kipato chake anachostahili kupata kwa mujibu wa sheria na katiba,siyo kuingia Tamaa ya kujipatia mali kinyume na utaratibu wa kisheria
Nani kakwambia kuwa naishi kwa kutegemea maandishi yangu hapa jukwaani yanipe chakulaVijana waneona uchawa unalipa...ujinga mtupu.
Jamaa anaandika mashudu matupu hapa
Nenda kajaribu kuzigusa uone Moto wakeHayo ni maneno ya kwenye sambusa
Kwani ripoti za CAG hazionwi tuupime huo moto.Nenda kajaribu kuzigusa uone Moto wake
Wahusika wanaokuwa wametajwa wanaendelea kuchukuliwa hatua mmoja baada ya mwingineKwani ripoti za CAG hazionwi tuupime huo moto.
Aaah wapi.Wahusika wanaokuwa wametajwa wanaendelea kuchukuliwa hatua mmoja baada ya mwingine