Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Hata wewe mrembo unalijua hili...

Duka lenu liko wapi nije kama mtalii?

#YNWA
Ha ha haaaaa haaa. Mie naishi hapa stone Town. Huwa nawasikia wadau kuwa watalii kutoka Urusi ni shida. Hawapandi taxi, huko hotels shamba wanachkua rooms lkn wanakula kwa mama ntilie, mambo ya chakula cha elfu arobaini kwao Big no. Na yale maji ya chupa wanouziwa elfu tano hawataki kabisa utapeli huo. Wanarudi rooms kulala washashiba chakula cha mama ntilie. Na maji yao wanarudi nayo kabisa. Katuni elfu tano washapata maji ya siku nzima ambayo hotel wangeuziwa chupa moja tu kwa bei hio.

Naskia rooms wakiashea kama wapo family.

Kuna clip moja ilisambaa wamepanda gari.

kama Tata ivi nafkiri waliomba lift [emoji1787]

Yaani kipindi kile cha corona wataliano walivokimbia kurudi makwao hao warusi ndio walijazana lkn jamaa wa tourism sectors wengi walikuwa wanawalalamikia
 
Le Mutuz aliyeishi Miaka 30 New York city nae tumuite Mzungu kitabia?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna clip ilikua inazunguka Unguja jamaa katoa offer ya Altezza ila mhusika akubali kuliwa hadharan. Dogo kajitosa baada ya dakika 10 kakabidhiwa chombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…