Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Hizo ni tabia za watoto wa Unguja na Pemba huko sie wamatumbi hua tunadeal naUko sahihi,kuna takwimu zimetoka wiki iliyopita mashonga ni wengi sana huko Unguja,nadhani mambo ni hayahaya,sasa unadhani likija Libabu lina hela zake wanafanyaje.
hahahahhaa utakuta unanambia niende nikalime Ili Hali wewe upo Kwa shemeji Yako umeketi kwenye kochi na remote ukiangalia tamthilia za kihindi,Acha ujinga nenda kwenu kalime mihogo na ili usife njaa kwa mwanaume kudanga na vibibi vizee ni laana ,hakuna siku utafanikiwa.
hahahaaha yule alikua boya na mwenye tamaa,aliwaaibisha Sana wanaume na wamasai Kwa kweliMwamba yasije yakakukuta ya masai wa pwani mchangani watu wakatoa Malinda
dahKuna mtu alisema kuwa tour guider ni kujizalilisha ..kule Arusha watalii wamelala waafrica the so called guider wanaimba nyimbo hadi jamaa wapate usingizi wao wakae macho kulinda mabegi ....wazungu wakiondoka wanaaza kutia huruma wachie viatu,sandal,makoti etc..
Huku ndo tuna chanzo cha mapato yatokanayo na utalii, michakato yote inaendelea......kuelekea nyakati za mwisho tamaa nayo itaongezeka sana, ndo pamoja na hizi za kufanya uzinifu na vibibi ili kupata mshiko.Hao na wenzao wa Arusha. Wanapenda sana slope za wazungu kwa namna yoyote ile.
Argent [emoji777]Wanaojua hii kazi hakika wanatajirika.
Watu wanatafuta Argent's..tu basi na unaichezea pesa mbaya...
Hii kutaka pesa kwa Chiu..ndio inayofanya mbaki..bakuja miaka yote!
Baadae mashoga wanaongezeka..
Ulitakiwa umwambie tu madhara ya kufanya ngono, na wazee ingetosha siyo kumtolea mfano na bibi yake hayo hayo ni matusi.Bibi yako akifanyiwa ivyo utapenda?
unawasemea?ila jamani hasa sisi watanzania , hakuna kitu hawa wenzetu weupe wanachukia kama Kulazimisha urafiki
nyinyi ma gadi wa watalii na kwenye mahoteli , muhudumie mtaalii, kisha endelea na shughuli zako , usifosi urafiki, hawapendi
Sasa si mnakuwa mnawafuatafuata mkitaka wawape tipu au waombe mgegedo.........mwingine unaweza kuta hana time ila anakereka kwa namna ulivyokomaa kumfuatafuata au kumuulizauliza vijimaswali visivyo na msingi, fanyeni kazi kutokana na taaluma inavyowataka, siyo kuingiza tamaa nyingine nyingine.unawasemea?
Wapi walikupa taarifa kua hawapendi urafiki?
Au ni hisia zako tu Ndio zinakuendesha!
sawa mkuu Asante Kwa ushauri,hiyo ni Moja ya changamoto za industry,Kuna baadhi wanalia Lia Sana shida badala ya kufanya Kazi professional,Ndio wale wanachafua image ya sekta nzima!Sasa si mnakuwa mnawafuatafuata mkitaka wawape tipu au waombe mgegedo.........mwingine unaweza kuta hana time ila anakereka kwa namna ulivyokomaa kumfuatafuata au kumuulizauliza vijimaswali visivyo na msingi, fanyeni kazi kutokana na taaluma inavyowataka, siyo kuingiza tamaa nyingine nyingine.
Hapo bado watalii hawajaomba 0713Kuna mtu alisema kuwa tour guider ni kujizalilisha ..kule Arusha watalii wamelala waafrica the so called guider wanaimba nyimbo hadi jamaa wapate usingizi wao wakae macho kulinda mabegi ....wazungu wakiondoka wanaaza kutia huruma wachie viatu,sandal,makoti etc..
Ulitakiwa umwambie tu madhara ya kufanya ngono, na wazee ingetosha siyo kumtolea mfano na bibi yake hayo hayo ni matusi.
Kila mwanamke unae fanyanae ngono, ana mfanao na anaekuhusu, aidha Mama, Dada au hata shangazi, tunachoangalia ni pasiwe na uhusiano wa kindugu basi.
Tuna bills za kulipa vibibi Vinataka vibe za kisela. Hata ww ukija unapasuliwa vizuri tu.
Wala msikaribie uzinzi (zinaa). Hakika huo ni uchafu na njia mbaya. (Surat Al Israai) (32)hahahaha hakuna Cha kutia huruma Wala Nini Hizo Ndio harakati zetu za kawaida katika upambanaji,kama kibibi mwenyewe amewish kupelekewa moto si tufanyaje mkuu,anapelekewa moto na pesa anatoa tunakuwa tumedouble profit umechakata na pesa unapewa,Sasa Mimi na wewe tuna tofauti wewe so hua unahonga pisi Kali Ili upeleke moto Sasa sisi ni vice versa hatutoi pesa ila tunapewa pesa na kupeleka moto
Firee 🔥
Ilikuwaje hiyo ya sheeeeee akaliwa taqo hadharani kweupeMwamba yasije yakakukuta ya masai wa pwani mchangani watu wakatoa Malinda
Ndio maana kabla ya kuja unampa itinerary na anakuja kajipanga kwa hilo.Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa zaidi. Bora mabibi wa-kitaliano, wapo social na ukimpa show Kali anakuachia Dola za maana.
NB: Karibuni wamachinga tusake noti kwenye utalii
View attachment 2043099