Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Haichi kuwa wabaguzi, kuna ubaguzi inborn na kuna wa kujifunza, mtu anayekuita Kafir hawezi kukuheshimu tena kwa sababu kishakufanya wewe grade nyingine. Anafanya na kusema mazuri ukiwa naye, wakikutana pembeni wenyewe wanakandiaAcha chokochoko za kibaguzi ndugu...hao wote unaowaita wazanzibar wapo kwa mujibu wa sheria na taratibu ya nchi yetu...
kuna wakati wewe ndo unaweza kuwa na uwezo mdogo wa kuelewa...kisha ukamlaumu huyo PHD ambae yeye aongei mambo kwa hisia za juu juu tuMtanganyoka mwenye PhD Tena ya UDSM ,ukimkuta anaongelea muungano, Bora std seven.
NonseseAcha chokochoko za kibaguzi ndugu...hao wote unaowaita wazanzibar wapo kwa mujibu wa sheria na taratibu ya nchi yetu...
Kaka kukuita kafir sio lazima awe mzanzibar hata hapa Tanzania Bara wengi tu wanaita wengine makafiri na wala hawana Uzanzibari wowote...usiipinge Zanzibar kwa udini Mzee...ni jambo baya zaidi kwa muunganiko wa taifa letuHaichi kuwa wabaguzi, kuna ubaguzi inborn na kuna wa kujifunza, mtu anayekuita Kafir hawezi kukuheshimu tena kwa sababu kishakufanya wewe grade nyingine. Anafanya na kusema mazuri ukiwa naye, wakikutana pembeni wenyewe wanakandia
Nonsense? kwa hoja ipi au ndo nonsense tu?Nonsese
And very cheeky
Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.
Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.
Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.
Hivyo, watakaoumia na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi? Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?
Ni jambo la kushangaza kuona watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu milioni 60.
Hii si sawa! Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali asili au eneo.
Mkristo hawezi kumwita Muislam Kafir, it is opposite. Ni muislam tu wa Bara atamwita mtu mwingine ni Kafir (asiye muislam). Hii ni kujitofautisha na wengine.Kaka kukuita kafir sio lazima awe mzanzibar hata hapa Tanzania Bara wengi tu wanaita wengine makafiri na wala hawana Uzanzibari wowote...usiipinge Zanzibar kwa udini Mzee...ni jambo baya zaidi kwa muunganiko wa taifa letu
Waacheni wazanzibar wale neema ya matunda ya amani sasa. Wamepita misuko suko mingi. Hivi sasa zamu ya upande wa pili.Zanzibar IPO au haipo?
Uchungu na maumivu yake utakutana nayo wewe au wajukuu zako 2030 na kuendelea
Kujadili nini? Jazba na chukiNina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.
Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.
Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.
Hivyo, watakaoumia na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi? Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?
Ni jambo la kushangaza kuona watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu milioni 60.
Hii si sawa! Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali asili au eneo.
Kama unataka wakusikie hao unaowaita watanganyika, toka humu shimoni uingie barabaran mkoa hadi mkoa. Vyenginevyo unapoteza bando lako na kujitia maradhi yanayoweza kuepukika. Depression wakat mwengine unaipata kwa kujitakia kwa mambo ya hovyo kabisa. Hakuna maandamano!Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.
Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.
Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.
Hivyo, watakaoumia na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi? Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?
Ni jambo la kushangaza kuona watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu milioni 60.
Hii si sawa! Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali asili au eneo.
Kuna GOP wengi sana ambao ni bumpkins kama wewe, sometimes charter never change with what level of education you have! Big difference if we were only Tanganyikans! Zanzibar has big influence especially after the 1977 constitution amendment. Ingekuws siyo hiyo Mwinyi na Samia hawangekuwa Rais na hatungekuwa hapa. Big influenceNimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania. Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika. Tanganyika ili cease 1964 na sijawahi kupungukiwa kitu kwa kutokuwapo kwa Tanganyika
MythWaacheni wazanzibar wale neema ya matunda ya amani sasa. Wamepita misuko suko mingi. Hivi sasa zamu ya upande wa pili.
Sasa UDSM inaingiaje hapa? Yaonekana ndugu una BIFU na UDSM. Hebu kwanza taja elimu yako na chuo ulichosoma, pengine tunaweza kukusaidia kwa tiba ya kisaikolojiaMtanganyika mwenye PhD Tena ya UDSM ,ukimkuta anaongelea muungano, Bora std seven.
Sidhani kama upstairs za wabongo ziko sawa!
Mediocre mind with stupid ideas. Hebu weka elimu yako hapa kwanza tujuwe tuna argue na ngumbaro au kindergartenIna maana mikoa 30 iliyo bara ina watu 60 million plus+ inaongozwa na mtu kutoka kule!
Wale wa kule wako 1.5 million wanaongozwa na WA kwao.
Ila yule wa kule Bado akija huku, ni kiongozi,, jamani!
Watu waliosoma political science na law, na utawala waje humu watuelimishe
Watanganyika hatuna akili hata kidogo, tunatawaliwaje na mtu wa kuja tena anatutesa hivi?Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.
Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.
Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote kutoka Zanzibar.
Hivyo, watakaoumia na kufa ni watanganyika! Je, kweli huu muungano unafanya kazi? Je, polisi wa Tanganyika wanaelewa ujumbe wangu?
Ni jambo la kushangaza kuona watu milioni 1.5 kutoka Zanzibar wakitoa amri kwa kutumia jeshi linalotokana na watanganyika milioni 60 kuuwa watu milioni 60.
Hii si sawa! Je, hii ni haki? Tunahitaji kujadili kwa kina masuala haya na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila kujali asili au eneo.
Sisi tumelaaniwa, tunateswa na wazanzibar kama vile hatuna akiliMabomu, bunduki, tunanunua Kwa Kodi za watanganyika,ili yatumike ,wanao amuru yatumike ni watu WA visiwani,wenye rais wao na katiba yao! Mbona hatuelewi?
Ni mjinga pekee anaweza kuwakubali wazanzibar na wakati wazanzibar ni wabaguzi wakubwa haswaSheria zipi? Mbona kule kwao hatupo,wanaishi,kwetu unasema Sheria za nchi?