Huku nikupoteza muda ,kunawangapi walishawahi kushtakiwa huko ICC na mwisho wake leo wanakula maisha kama kawa .
Hebu ngoja , kwani Kenyatta sialiwahi kushtakiwa huko ICC,ni nini kikitokea ? Siakaja kuwa Rais na maisha yanaendelea .
Vipi na Ruto ,sialiwahi kushtakiwa , leo sinihuyo Rais wa Kenya?
ICC hao tunaowategemea nao nikakikundi cha wahuni tu kama wahuni wengine , kama kweli tupo seriously inapaswa tumobilize watu kesho tukaibuke huko huko kwenye uwanja wa Jeshi wanakomuapishia ,huo ndiyo utakuwa uanaume unaotakiwa ,zingine hizi nikutoana kwenye reli tu na pengine hizi porojo zinafanyws na system ili kuendelea kutuondoa kwenye njia .
Serikali iliyoamua hadi kugonga risasi raia wake mchana wa wa saa nane ije kuiogopa ICC , you guys are we seriously?
Kama nikweli tunayataka mabadiliko tujitahidi kupunguza uwoga .