Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

Mvinyo bora..![emoji23] hawa wamepiga vyenye kimea kisha wakafanya featuring na ngumu kumesa.. Hata ibilisi mwenyewe kawaogopa.. Watu wanakula munde mpaka mida ya wanga..[emoji31]
Si wangebaki tu mpaka asubuhi ndo waomdoke..

Ila kuna vifo vingine tunajitafutia wenyewe

Mungu atuzidishie hekima na busara
 
Mvinyo bora..![emoji23] hawa wamepiga vyenye kimea kisha wakafanya featuring na ngumu kumesa.. Hata ibilisi mwenyewe kawaogopa.. Watu wanakula munde mpaka mida ya wanga..[emoji31]
🤣🤣🤣🤣
 
Yaani hao wamefika majuu wakiwa vizuri kabisa.
 
Hahaha, umemsoma tusker barid haha

Anakuambia walitokea juliana wakiwa njwii

Wakahamia lava lounge wahudumu wakawasihi wasiendele piga mtungi
Haha

Kweli ajali walijitakia

Ova
 
Duuuhhh....!! Noma sana aisee. Pole sana kwa wafiwa.

Ila akili ya pombe aisee sijui huwa inakuaje.

Nakumbuka kama miaka 18 back enzi za ujana, kuna siku nilikua na washikaji Moshi tumepiga bia tuko tungi kinoma aisee, ikaja idea kwamba tu drive hadi Arusha, kumbuka mida hiyo saa 7 usiku tayari, tuko pombe mbaya, tunatiana moto kwamba lazima by saa nane tuwe A town tugonge pombe za Arusha.

Tukaanza safari, hata hatukufika mbali tunaitafuta Bomang'ombe polisi hawa hapa, wakatusimamisha tukagoma, wakaanza kutufukuza.

Aisee wakatudaka fasta, wanacheki ndani ya gari wanakuta pombe kibao wote tuko pombe mbaya, wakatuchukua kwanza wakaenda kutulaza lock up.

Hiyo ndo ikawa pona yetu, ila kama tungeendelea na ile safari sidhani kama tungepona.

Pombe noma sana aisee, acha kabisa.
 
Watapew mvinyo kwanza kuondoa lock kabla ya hukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…