Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe


Hahaaa umewaza nini
 

huyo mmoja japo ni majeruhi ila naamini ameacha pombe
 
Wameenda na ushahidi,ni SAwa na kufia kwenye kifua cha zinaa
 
Bora kulala lockup kuliko mochwali
 
Bagamoyo road na malori ya michanga usiku ni chui na paka.......
 
Hahahaaaa
 
Hawakuwa na familia hawa!!??
kwa maana ya mke,mume watoto
unakunywaje kwa kujiachia namna hiyo.....!
all in all rip
 
Wahudumu walikuwa malaika
Nakumbuka zamani Musoma Tarime road kuna mtu alipita jioni akienda Musoma kwenye ishu zake akiwa huko mvua inanyesha saa tatu usiku anarudi Tarime kufika mahali anapigiwa torch kwa nguvu asimame akaongeza moto akihisi ni majambazi, kumbe anaambiwa asimame mbele daraja limekata akaenda akajibamiza kwenye daraja na ikawa ndo mwisho wake, angeisikiliza torch angepona.
 
Hakuna namna ya kuweka alana ya tahadhari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…