Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

Kwa hiyo unamanisha Nape analenga wakuchunguzwa ni Mama na Mpango? Marehemu hahojiki.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Mpango hapo hawezi chomoka. Probably ndiye mlemgwa pamoja na akina Dotto. Ila swali ni kwamba hii Inawezekana kwenye serikali na Bunge hili? Ile fear aliokuwa ya Magufuli kwa wateule wake inamsaidia sana Maza kufanya kazi zake.
 
Ugoro!!! Umekula maharage ya wapi weweee
 
awamu ya 5 ufisadi ulikuwa mkubwa ila ilikuwa ukisema lazima upotezwe/kuuwawa
full stop
 
Kwani kama hakujaibiwa pesa mnaogopa nini mama akague?Huyu mnae msifia kipindi cha uuzwaji wa hovyo wa nyumba za NHC waligawiwa mpaka vm.da
 
10 Nyerere + 10 Mwinyi + 10 Mkapa + 10 Kikwete + Samia = 5 Magufuli [emoji3]

This man was a Legend! Uthubutu mkubwa umefanyika katika awamu ya tano.Huyu mwamba ameweka standard ya uongozi/Urais unapaswa uweje.
Urais unapaswa uuwe na kuteka watu
 
Ukiongelea jpm maumivu yanarudi upya.sijuhi kwa nini Mungu alichelewa kutupa jpm? Akatupa dhahabu na kumchukua kwa muda mfupi.

Nm.msiulize naumia nikiwa wapi, niko hapa chato.
 
Magifur alifanya makosa Sana kuwaacha salama, ange watumbua kwenye Kula za maoni kwenye chama au ange wapa kesi ya uhujumu uchumi tokea kipindi kile wasinge tamba Sanaa mpaka kupata uwazir na huyu mwingine ana subili nafasi Tu ya uwaziri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape amemwaga petrol kwenye kichuguu nyoka wa kijani wameanza kuruka-ruka
 

Na Target Yake Ilikuwa Watu Kama Hawa, Katika Hilo Alifanikiwa.
 

Tanzania Is Better Off Without Him [emoji706]
 
Kuna mijinga haitakuelewa,hii miTanzabia hata ukimpeleka YESU au MUHAMAD pale Ikulu italamika tu.

Ngoja wakome
 
Umesahau waliopotezwa, kupigwa risasi na watumishi kutopandishwa/kuongezwa mishahara na madaraja.
 
Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, nchi ya watu vichwa panzi, mahitaji yalikuwa rais msimamo akaja hawakupenda, giogoi hawapendi, vuguvugu hawapendi, labda wasubirie civil war watafaidi, its either Zaire, C.A Republic, or F.R.Nigeria. lets keep praying we dont match them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…