Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Sikiliza Kalemani! Kama Kuna madili hukumalizia kuwa mpole tu! Hukuzaliwa kuwa Waziri!Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco...
Yalishuka Tanzania tu au Hadi soko la Dunia?Mafuta tulinunua 1,500
Umeuliza kipi kilishuka bei umejibiwa! Hayo mambo ya kusema nilizaliwa chato sielewi yamekujaje.Yalishuka Tanzania tu au Hadi soko la Dunia?
Bei ya Mafuta soko la Dunia ikoje sasa?
Au ndo umezaliwa na kukulia chato tu hapo hujui mambo ya dunia huko?
Ndio nina uhakika Bei ya mafuta soko la Dunia Yamepanda sana!Umeuliza kipi kilishuka bei umejibiwa! Hayo mambo ya kusema nilizaliwa chato sielewi yamekujaje.
Una hakika soko la dunia mafuta yanauzwa 2,510 kwa litre?
Nioneshe ambapo bei ya litre soko la dunia ni 2,510 usiniambie habari za bidden!Ndio nina uhakika Bei ya mafuta soko la Dunia Yamepanda sana!
Hadi juzi Rais wa Marekani Joe Biden ameamuru Marekani watoe reserve yao ili kuweza kupambana na mfumuko wa Bei ya Mafuta
We kenge unaishi dunia ya wapi?Haya maoni ya jamii umeyapima kivipi kuwa hayamkubali Januari? Maoni ya JF yaliyofunguliwa na wabaya wake siyo maoni ya wananchi
Acha uvivu somagaNioneshe ambapo bei ya litre soko la dunia ni 2,510 usiniambie habari za bidden!
Kama angeonyesha perfomance nzuri nani angekosa imani naye? Taifa linahitaji umeme wa uhakika, ameteuliwa na kuja na mauzauza kibao.Muacheni January afanye kazi, kwani Cha maana alicho fanya huyo kalemani ni kipi, huyo kalemani si alikuta mipango mizuri iliyo kuwa ineanadaliwa na Sospeter Mhongo.
Au mna chuki, Kama si za kikanda Basi NI za kukabila.
Kwa nini usikae kimya ndugu?Sikiliza Kalemani! Kama Kuna madili hukumalizia kuwa mpole tu! Hukuzaliwa kuwa Waziri!
Kama shida ya Umeme ilikuwepo ukiwa Waziri na haijawai kuondoka!
Makamba ndo waziri we endelea kunungβunika tu huko Chato
Ni kweli kabisa kwamba huyu dogo kwa wizara ya nishati Kashindwa kudeliver. Nashauri iundwe wizara ya upigaji na rushwa na huyu bwana ahamishiwe huko.Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco.
...
Wana CCM wengi hawana imani na CCM.Sina imani na Makamba
Sina imani na CCM.
Kama alikuta mfumo mbovu kwanini ulikuwa matokeo mazuri kuliko wake. Hatupo hapa ku baby sit watu tunataka umeme habari za kupeana muda ni za 70,80 na 90s. Nyie wapumbavu mtasababisha machafuko nchi hii kwasababu hamtaki kuelewa jinsi kizazi kipya hakitaki ujinga.Hivi watu hawaoni ya kuwa January na uongozi mpya wa Wizara ya Nishati pamoja na TANESCO wapo katika nafasi walizo kuwanazo kwa muda mfupi uliopita! Katika kipindi kama hicho ni lazima tuwe wavumilivu na wapewe muda ili kuweka mambo sawa...
Samia hatamtoa lakini mbele ya safari Makamba atakuja kuwa mfungwa.Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco....
Nyie watu siyo result oriented, watu hawataki maneno wanataka umeme hamna mtu angelalamika hapa kama umeme ungekuwa wa uwakika.Mkuu, hivi tuseme ni muda gani hasa mtu akiaminiwa kufanya fulani ndipo watu wanaweza kumfanyia tathmini ya jumla? Hata kwa nafasi ya urais watu huanza kuangalia siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini...
NAKUBALIANA NA JAMAA HAPO NI BORA KUWA NA MWAMPOSA KAMA WAZIRI WA NISHATI (UMEME) AU PIERRE LIQUID ππ€£π π kuliko huyu kigogo 2014
Kumbe Frustration una akili ya kimpira mpira? Hapa siyo kwako nenda JUKWAA la michez ukakutane na akina Haji Manara.Ww unaishi Tanzania ya uhamishoni? Au Tanzania ya vijijini kusiko na nishati ya umeme? Kumtetea Makamba eti ipo siku atafanya vizuri ni sawa na mashabiki wa Arsenal kuamini ipo siku tutamfunga Man United
Wizara ishamshinda. Wewe ni type ya watu mnakuta messages chafu kwenye simu ya mkeo lakini unasubiri akutwe anapigwa miti iliuamini.Mkuu, mimi simtetei kwa kuwa muda utaingea. Kama wizara itamshinda muda ukifika itabidi aondolewe tu ili kupisha waziri mwingine mwenye uwezo wa kuiendesha wizara hii kwa ufanisi mkubwa.
Jibu swali? Unaishi wapi? Mbona mitaani ni malalamiko juu ya huyu waziri? Acha ujuha.Kumbe Frustration una akili ya kimpira mpira? Hapa siyo kwako nenda JUKWAA la michez ukakutane na akina Haji Manara.
Hapa utapata frustrations tu
Nani wa kumuondoa mwenzie Sasa wakati wote nI wale waleSahizi ishu ni kuwa fata ofisini huko huko na kuanza kuwatembezea vichapo kama wao walivyowafanya wamachinga!
Ishu ikienda viral pengine masikio yao yatasikia! Tunataka bei za vitu zishuke na usimamizi uwe mzuri! Viongozi wapuuzi waondolewe haraka sio kukumbatia mabomu