Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Sitaki kusikia habari ya Ngosha ksb siyo Baba yangu yule mimi nataka umeme na huyo mpumbavu wenu anahujumu nishati lazima atawekwa ndani mbele ya safari.
 


Eti wanashindwa kujiuliza iwapo waji ya kawaida hakuna sembuse upatikanaji wa umeme ambao unategemea uwepo wa maji mengi ili uzalishwe?

Hata haya wahana hawa jamaa!

Tumewastukia na chuki zao na husuda!
 
Sitaki kusikia habari ya Ngosha ksb siyo Baba yangu yule mimi nataka umeme na huyo mpumbavu wenu anahujumu nishati lazima atawekwa ndani mbele ya safari.


Amehujumu kivipi ?


Kwamba hutakikukubaliana na ukweli kuwa kumekuwa na tatizo la ukame kiasi cha kusababisha hata huduma ya maji ya kawaida kukosekana?

Na unajua kuwa umeme ya nchi hii huzalishwa kwa njia ya Maji ?
 
January Makamba hakuweza uwaziri wa wizara rahis kama ya mazingira na muungano chini ya rais mwelekezaji na mfuatiliaji.

Kweli watanzania tunaamin ataweza kwenye wizara ngumu chini ya rais ambaye haijui chin, sio mtanzania, ambae hana elimu yoyote ya uongozi, hafuatilii mambo. Haelewi nini watanzania wanataka. Mtu wa deal tu, anaeamini kuwa wazungu watakuja kutusaidia.

Ni kukubali tu kuwa tumepigwa na tujifunze na zaid sana tuelewe tunachotaka katika Nchi yetu.
 
Ubaya wa kudandia mada za wanaume.
 
Binafsi hata mimi sifurahishwi na kitendo cha kukosekana kwa huduma ya umeme wakati wote pamoja na maji.

Kama ni kuwalaumu na kuwakomalia walopelekea kushindwa kujiongeza na kuwa na vision Nzuri ya kuondoa tatizo hilo ni Viongozi wa serikali na bunge na sio Januari ambae kwenye hiyo Wizara kaletwa juzi tu.

Serikali na bunge watuambie Kwanini wananunua ndege badala ya kuwekeza kwenye huduma za msingi za maji ambao ni uhai wa binadamu yeyote na Umeme ambao ni nishati yenye economic impacts as well?

Je kipi kipaombele kati ya kununua ndege na kutoa huduma ya maji na umeme kwa wananchi?

Mkileta hoja ya namna hiyo nitawaelewa kuliko hizo personal attacks mnazomfanyia Januari hazisaidii.
 
Zambia mafuta ni kiasi gani kwa Lita?
 
Chuki kwa January Makamba ni kitu akikubaliki, shida ya umeme inaelezeka, mwacheni atumikie taifa, na kama alikuudhi kisiasa, basi sio peke yake, sasa wote utawafanya nini? Acha kumfitinisha yaani unaonyesha chuki yako kuwa ni ya tz, anafanya kazi vizuri, mama anamjuwa kuliko wewe, kwani walikuwa ofisi moja. Mbona ukumshikia bango 7ya, bashite kipindi kile, au walikufurahisha?
 
Kwa mwerevu ataelewa kwa hali ilivyo ya kimfumo pale kwa wakati huu wa ukame na maji kuisha hata angekuwepo Ngosha au yeyote Umeme ungekatwa tu.

Mjifunze kuangalia nje ya box.

Libaneni bunge wawakilishi wenu na Viongozi wakuu wa Serikali ambao ndio wanaopitisha maamuzi ya kuona kununua ndege ni muhimu zaidi kuliko kuimarisha huduma ya maji na umeme.

Waziri wa maji na nishati anaweza kuandaa bajeti kubwa lakini ikifika bungeni inakatwa,

Au ikapitishwa bungeni lakini wakati wakudai hela ya utekelezaji hapewi.

Ndio maana ni muhimu sana kujua kila Mwaka bajeti ya Wizara hasa zile nyeti zimetekelezeka kwa asilimia ngapi?

Kwa bahati mbaya waTZ wengi si wafuatiliaji wa mambo hayo muhimu sana.
 
Makamba mwenyewe ni gwiji wa personal attacks....ukweli wenyewe ni kuwa Makamba hafai hata kuwa Katibu kata...mtu anayemteta hata rais wake hafai hata kidogo...ni aibu kwa taifa kwa mtu wa aina hii kuteuliwa kwa nafasi yoyote ile ya umma...ni aibu kubwa...
 
CCM ukoo wa panya. Baba, mama, watoto, wajomba na mashangazi wote wezi😂😂😂😂
 
Tushawachoka nyie wafuasi wa Dikteta kichaa, Sukuma Gang nendeni mkalimie kaburi la mungu wenu kichaa,

January bado yupo Sana,

Yaan kutwa mnatukana Samia mitandaoni,halafu mnataka afuate ushauri wenu kenge nyinyi
 
Wenzio hiyo nafasi wanataka apewe msukuma mwenzao, wapuuzi hao
 
Thubutuuuuuuuuuu,labda wazimbabwe sio wabongo
 
Kama amri zinasaidia kutokukatia kwa umeme Bora zitumike
 
Huyo Magu aliongozwa na roho mbaya, udini na ukabila, Hana utukufu wowote huyo mungu wenu,

Acheni Samia apige kazi, mnamchukia Samia nadhani sababu labda ya dini yake (60%)
 
Ww unaishi Tanzania ya uhamishoni? Au Tanzania ya vijijini kusiko na nishati ya umeme? Kumtetea Makamba eti ipo siku atafanya vizuri ni sawa na mashabiki wa Arsenal kuamini ipo siku tutamfunga Man United
Huyo msukuma mwenzenu Kaleeemani alifanya lipi la maana?
 
Haya Wai Chatttle kafagilie kaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…