Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Upo tayari kufa ili watoto na wajukuu zako wawe Kama Kenya?
 
Mtafikaje wakati CCM ina enjoy kuongoza Maiti, hakuna na hii labda baada ya miaka 5000
 
Wezi walioendelea vz Wezi wa kizamani.

Huku lazima CCM ishinde maana washindani huwa ni vikundi vya wahuni tu ambavyo huwezi kusema viko timamu kupewa nchi.
 
Kenya imefika hapo baada ya kuki zika chama Cha Ukombozi KANU baada ya chama hicho kugeuka kuwa chama Cha kijambazi ,
Naamini hata Tz siku chama Cha mapi _,ndusi kitakapozikwa Tanzania itazaliwa upya
 
Kwa akili zipi? Hizi za kiswahili za kujikomba masaa 24? Nchi imejaa wajinga watupu, the only way ya wao kuishi ni kujikomba
Hayo ni Maoni yako,wakijikomba na wakaleta matokeo kuna shida gani?

Nani kakwambia lazima tuige Kunyaland?
 
Upo tayari kufa ili watoto na wajukuu zako wawe Kama Kenya?
Tulipata uhuru Kwa njia ya Amani.

Tunaandika KATIBA mpya Kwa njia ya AMANI.

Na baada ya kupatikana KATIBA mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA tutafanya uchaguzi HURU na HAKI,

Ameeeen
 
Wezi walioendelea vz Wezi wa kizamani.

Huku lazima CCM ishinde maana washindani huwa ni vikundi vya wahuni tu ambavyo huwezi kusema viko timamu kupewa nchi.
Ndio nyie team jiwe mnatamani Kenya wapigane vita?🤣🤣🤣
 
Tulipata uhuru Kwa njia ya Amani.

Tunaandika KATIBA mpya Kwa njia ya AMANI.

Na baada ya kupatikana KATIBA mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA tutafanya uchaguzi HURU na HAKI,

Ameeeen
Well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…