Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Ila hadi leo bado kuna watu wanasimama na kusema eti 2020 kulikuwa na uchaguzi na wameshinda kwa kishindo kwa asilimia 99 nchi nzima, Na maeneo mengine wamepita bila kupigwa?",
 
Leo Kenya imekua na akili kwa wa TZ mbona kila siku huwa tunajigamba tupo juu kwa kujisifia, refer to uzi wa Nairobi vs Dar.
 

Nilichosema hakibadiliki boss, kiko hivyo hivyo.
 
Tanzania hatujawahi kuwa na uchaguzi huru ila wa 2019/20 ulitia fora sababu ya mwendawazimu aliyekuwa madarakani
 
Uchaguzi hautakuwi kuwekwa live inabidi kusubiria matokeo tu na ukishapuga kura nenda nyumbani upesi.. wamekosea sana ilipaswa hata vituo vya TV na radio kuzimwa kwa muda
 
Hivi una akili timamu kweli wewe ujui hizo ni kodi zetu na ni wajibu wao kuyafanya hayo ? Ndio maana mlikuwa mnamuabudu [emoji1]
 
marehemu
 
Kenya mpaka wamefikia hapo walichapana na damu ikamwagika, naomba sisi tusipitie njia kama hiyo ila kuna mijitu inatulazimisha kufika uko kwa wizi wao wa kura
Yaap shida waBongo tunadhani waKenya wamefika Sababu yakuchekeana wamechapana na The Hague walifika now Kila mtu anamuheshimu mwenzie hakuna kitu kinatokea kama MANA jangwani...cccm wanajua Kura zikipigwa na kuhesabiwa kwa Uwazi watu watamaliza uchaguzi saa3 asubuhi...na wenyewe watakuwa kwenye jumba la makumbusho
 
Jamaa aliwaamini wanadamu (askari) kuliko Mungu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…