innosaint gerald
Member
- Jan 2, 2017
- 30
- 32
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngumu sana kuelewa hii nchi Tanzania kutumia mfumo wa kielektroniki kuhesabu kura ni sawa na kutaka VAR itumike kwenye ligi za afrika kitu ambacho FISIEMU hawawezi kukubali kutumia njia za kisasa kuhesabu kura wataangukia pabaya sana
Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?