The truth is paining us...Hamia Kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The truth is paining us...Hamia Kenya
Kenya wametupiga za uso.The truth is paining us...
Kabisa,aibu kubwa hii..sijui Kabudi na kundi lake wanajisikiaje?Kenya wametupiga za uso.
MICCM inatamani Kenya wapigane yapate cha kusema.🤣🤣
Kuna nyakati Tanzania ilikuwa ni nchi ya kupigiwa mfano na hadi kwenye mikutano ya UN mjumbe wa Tanzania akisimama, kila mtu anatulia kusikiliza.Kwa kweli uchaguzi wa Tanzania, chini ya serikali ya CCM, na yule mwovu mihela, ni alama ya uovu unaokosa jina stahili.
Kenya wapo juu, wapo mbele, wamestaarabika, ni binadamu kamili waliohitimu evolution, siyo hapa kwetu ambapo eti ukipiga kura ukakae mbali, usione wanavyoiba na kubadilidha matokeo.
Sisi katika demokrasia, tumekuwa nchi mkia. Tume ya uchaguzi inajua kuwa jukumu lake kubwa ni kukata majina ya wagombea wa upinzani!!
Hata hapo juu kasimama kiwizi kiwizi tu...kwa nini hawatimuliwi hawa wachafuzi?Jizi ndio hiloView attachment 2320306
Acha kurupu..nilimaanisha kenyaMdogo wake Mh Wenje, mdogo wake Heche
Kwa hiyo unaposoma na ku'quote' yaliyoandikwa na mchangiaji hutilii maanani kilichoandikwa?Swali gani ulitaka majibu boss? Ujue humu sio chumba cha mtihani hivyo uwe unapitia marking scheme yako.
Kwa hiyo unaposoma na ku'quote' yaliyoandikwa na mchangiaji hutilii maanani kilichoandikwa?
Hapo juu uli'quote' niliyoandika mimi, na kutokana na ulichoweka ili nikisome, nikauliza swali. Sasa unauliza ni swali gani nililokuuliza?
Kitu muhimu kwako ni mambo ya "mitihani", ambayo hayapo hapa jukwaani!
Ni jambo la kustaajabisha sana kwamba wapo baadhi ya Watanzania wanakesha wakiomba na kutamani machafuko yatokee Kenya.Kenya wametupiga za uso'
MICCM inatamani Kenya wapigane yapate cha kusema.🤣🤣
Communists will never give you a free and fair election.Lakini toka lini nyani akaona kundule? CCM haijawahi kuwa na aibu hata mara moja. Hebu tazama viongozi tuliowahi kusukumiziwa na CCM!
Communists will never give you a free and fair election.
CCM + CCP = Disaster.
Lini mlikuwa na demokrasia kabla na baada ya huyo unae muita nduki😂😂😂Lile nduli lililokufa ndio liliharibu demokrasia yetu. Wachomaji huko jehanamu waongeze kuni
Nikula utulivu tu na kuseti michongo ya kuli nusuru tumbo😂😂Ndo li nchi letu tutafanyeje sasa
Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Salaam zetu kutoka Twitter
View attachment 2320157
Kwa kweli tumevuliwa nguo...
Uliona wanaacha kulinda raiya na Mali zao na badala yake wanalinda watawala na vyeo vyao ujue SI salama Tena.Namuona Kenyata anaenda kupiga kura akiwa hana rundo la maaskari na wanajeshi waliojihami kwa bunduki wakimzonga zonga
Huku kwetu wkt wa upigaji kura kule Dodoma tuliona Magu akiwa na lundo la wanajeshi wenye silaha za kivita utafikiri tupo Afghanistan
JK anasimamia Uchaguzi Kenya kwani yeye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya? Yeye ni kiongozi wa Timu ya waangalizi wa Uchaguzi kutoka Afrika Mashariki. Zipo timu zingine nyingi zinazoangalia mwenendo wa Uchaguzi huu wa Kenya. Fuatilieni mambo kwa kina sio kudokoa vitu vichache.Uchaguzi wa Kenya unasimamiwa na JK wa Tanzania, usisahau hilo
JK na wenzake wameenda kuwa waangalizi wa Uchaguzi.....Wamekosea sana Tanzania Viongozi hawachaguliwi na wananchi. Wanachaguliwa na watu fulani tu wachache. CCM wanatuchagulia Viongozi sisi wananchi. Bado tunasafari ndefu sana ya demokrasia Tz.Hapa Tanzania ni nchi ya makondoo, huku wajinga wakiwa ndio wameshika madaraka. Kitu pekee Kenya wamekosea na kukubali akina JK kwenda kuwa wasimamizi wa uchaguzi wao, wakati akina JK ndio mabingwa wa siasa za kihayawani hapa nchini.
Na bado akafa kirahisi pamoja na rundo la walinzi. Waliopo wajifunzeNamuona Kenyata anaenda kupiga kura akiwa hana rundo la maaskari na wanajeshi waliojihami kwa bunduki wakimzonga zonga
Huku kwetu wkt wa upigaji kura kule Dodoma tuliona Magu akiwa na lundo la wanajeshi wenye silaha za kivita utafikiri tupo Afghanistan
Kabisa. Eti kura za majimboni Tz hazitangazwi mpaka zitangazwe na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi. Wenzetu kule wamesema kila anayetaka kujua na kujumlisha kura afanye ilimradi asitangaze mshindi, kazi hiyo itafanywa na Tume. Huku kwetu mambo ni ya hovyo mno. Rais Tz hachaguliwi na Wananchi kabisa. Tuna mifumo mibaya sana.Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?