Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Huwezi kulima mahindi ukavuna Bangi..!! Ukilima mahindi utavuna mahindi na ukilima Bangi utavuna Bangi...!! Mwezi ujao tutakuwa na Rais wa kwanza mwanamke kwa mujibu wa katiba yetu.
Kwanini isiwe Leo?
 
Amekufa lini?
Kwanini unamuita mbweha?
 
Huu uzi una kasoro gani? Kwani ku bofya bofya link ya New Post kuna kukera?
Na wewe bofya mkuu, achana na jukwaa la mapenzi kwa siku ya leo
 
USHAURI WA BURE KWA MHE. RAIS MAGUFULI.

Wakati Unaendelea kupata Ahueni kutokana na Yasemwayo Mitandaoni naomba Nikutie moyo kuwa bado ww ni Mkuu wa Nchi .

Tafadhali Muite Mhe.Lissu Mpe Uhakika wa Usalama wake muombe Msamaha kwa Yaliyotokea September 07 2017 natumaini atasamehe na Kusahau kama wewe ulivyowasamehe akina Nape na January, waite pia Wapinzani wako wa Kisiasa kaa Nao Meza Moja Maliza nao Tofauti hata ikibidi nyuma ya Camera.

Ukifanya Hivyo Nchi yetu itakuwa imeanza Upya Kidemokrasia Zaidi Huku Amani Upendo vikitataradi.

NAKEYIIIIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…