severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Hiyo hapo midudu yako ya ajabuNimetafuta Emoji ya BUNDI nimekosa [emoji210][emoji212][emoji213][emoji211]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hapo midudu yako ya ajabuNimetafuta Emoji ya BUNDI nimekosa [emoji210][emoji212][emoji213][emoji211]
Unazuiaje thinking Na emotion ya MTU Mkuu...
Huwezi kulima mahindi ukavuna Bangi..!! Ukilima mahindi utavuna mahindi na ukilima Bangi utavuna Bangi...!! Mwezi ujao tutakuwa na Rais wa kwanza mwanamke kwa mujibu wa katiba yetu.Aah Big Sir amechomoa battery jana
"mungu wa Dar" alituma post moja kule twitter yenye kuthibitisha kitu kwa 75%
Nikienda Twitter nakutana na codes, nikirudi JF ni nyuzi za codes! Kuna muda nikaamua kulala nikaamka akili yangu bado haielewi kitu!
Nafikiri mnataka kunipotezea nisiwaze yale mahela yalolipwa juzi...
Kwanini isiwe Leo?Huwezi kulima mahindi ukavuna Bangi..!! Ukilima mahindi utavuna mahindi na ukilima Bangi utavuna Bangi...!! Mwezi ujao tutakuwa na Rais wa kwanza mwanamke kwa mujibu wa katiba yetu.
Amekufa lini?yule aliyekuwa anateka na kuua watu,yule ambaye aliamuru wapinzani washughulikiwe na wasisurvive,yule aliyeamuru tundu lissu auawe na azikwe huko huko singida asifike dar,yule aliyeamuru askari wakawakamate watu waliovaa t shirt zilizoandikwa Pray for Tundu Lissu, alikuwa akilindwa na wanajeshi wenye silaha za moto na kutembea katika msafara mkubwa wa magari,aliimarisha ulinzi na wanajeshi wengi wanamlinda, vipi mbona wameshindwa kumlinda asife??[emoji3][emoji3][emoji3] ameshakufa mbweha huyu,safi sana
Vipi kuhusu TL na Sa8?Loh,ndugu kumbuka huyu ni binadamu,baba,mume na ndugu,zaidi ya yote ni raisi!
Huu uzi una kasoro gani? Kwani ku bofya bofya link ya New Post kuna kukera?Nashangaa sana mods Maxence Melo Invisible na wengine kuendelea kukalia kimya thread kama hizi inaonesha ni njisi gani mnaunga upuuzi huu. Na mnabagua nyuzi kulingana na mleta mada mfano Bujibuji Sky Eclat Mshana Jr hawa nyuzi zao zinatamba tu huku mods mnachekelea
Ni kuhusu r.i.p et mkuu
Thou shall not judgeyeye ndo alibidi apump brakes kwenye kuua wapinzani by the way imebaki historia ameshakata moto,aende akayateke mashetani huko
Kasemeje??