Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Nimetafuta Emoji ya BUNDI nimekosa [emoji210][emoji212][emoji213][emoji211]
Hiyo hapo midudu yako ya ajabu
Owl904x400.jpg
istock_000023765401_small.jpg
 
Huwezi kulima mahindi ukavuna Bangi..!! Ukilima mahindi utavuna mahindi na ukilima Bangi utavuna Bangi...!! Mwezi ujao tutakuwa na Rais wa kwanza mwanamke kwa mujibu wa katiba yetu.
Kwanini isiwe Leo?
 
yule aliyekuwa anateka na kuua watu,yule ambaye aliamuru wapinzani washughulikiwe na wasisurvive,yule aliyeamuru tundu lissu auawe na azikwe huko huko singida asifike dar,yule aliyeamuru askari wakawakamate watu waliovaa t shirt zilizoandikwa Pray for Tundu Lissu, alikuwa akilindwa na wanajeshi wenye silaha za moto na kutembea katika msafara mkubwa wa magari,aliimarisha ulinzi na wanajeshi wengi wanamlinda, vipi mbona wameshindwa kumlinda asife??[emoji3][emoji3][emoji3] ameshakufa mbweha huyu,safi sana
Amekufa lini?
Kwanini unamuita mbweha?
 
Nashangaa sana mods Maxence Melo Invisible na wengine kuendelea kukalia kimya thread kama hizi inaonesha ni njisi gani mnaunga upuuzi huu. Na mnabagua nyuzi kulingana na mleta mada mfano Bujibuji Sky Eclat Mshana Jr hawa nyuzi zao zinatamba tu huku mods mnachekelea
Huu uzi una kasoro gani? Kwani ku bofya bofya link ya New Post kuna kukera?
Na wewe bofya mkuu, achana na jukwaa la mapenzi kwa siku ya leo
 
USHAURI WA BURE KWA MHE. RAIS MAGUFULI.

Wakati Unaendelea kupata Ahueni kutokana na Yasemwayo Mitandaoni naomba Nikutie moyo kuwa bado ww ni Mkuu wa Nchi .

Tafadhali Muite Mhe.Lissu Mpe Uhakika wa Usalama wake muombe Msamaha kwa Yaliyotokea September 07 2017 natumaini atasamehe na Kusahau kama wewe ulivyowasamehe akina Nape na January, waite pia Wapinzani wako wa Kisiasa kaa Nao Meza Moja Maliza nao Tofauti hata ikibidi nyuma ya Camera.

Ukifanya Hivyo Nchi yetu itakuwa imeanza Upya Kidemokrasia Zaidi Huku Amani Upendo vikitataradi.

NAKEYIIIIII
 
Back
Top Bottom