Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
leta screenshotMsigwa kuna kitu kule kapost nimepata wasiwasi
Post za msigwa twetan sio poa kabisa !!!! There iz smthng bhnd !!!!
Mirija ikikatwa miwani ya mbao uangukaCCM walikufanya Nini maana ulikuwa CCM kindakindaki Lkn toka uhamie Morogoro umekuwa against chama tawala
Sitegemei kwa awamu hii ya tano viongozi wakubwa kwenda kutibiwa nje wakati huduma za ndani zimeboreshwa.Nadhani wao watakuwa mfano.Always African leaders dies in foreign hospital instead of buildings good healthcare in their own country
Walipoanza mauwaji pamoja na manunuzi ya Chadema huku sisi Ma hardcore wanatutosa nikaona isiwe tafrani.CCM walikufanya Nini maana ulikuwa CCM kindakindaki Lkn toka uhamie Morogoro umekuwa against chama tawala
NimekusomaWalipoanza mauwaji pamoja na manunuzi ya Chadema huku sisi Ma hardcore wanatutosa nikaona isiwe tafrani.
let huku mkuu wengine hatuna tuitaPost za msigwa twetan sio poa kabisa !!!! There iz smthng bhnd !!!!
Cardiac survival rates around 6 percent for those occurring outside of a hospitalNaam,nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,Sitaogopa mabaya. Kwa maana Wewe upo pamoja nami,Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Kumbuka Rais ana medical team 24h/24.Cardiac survival rates around 6 percent for those occurring outside of a hospital
Kaandika nn? Naomba linkUnaniuliza mimi?
Muulize Msigwa anajua Boss wake yuko wapi. Au jiulize why Makonda kaandika kisichojulikana leo
Mkuu ilibidi niende kuzisoma. Zinaleta sintofahamu!!Msigwa kuna kitu kule kapost nimepata wasiwasi
Kila alipo kiongozi wa nchi Pana Hospital hata Iwe sigimbiCardiac survival rates around 6 percent for those occurring outside of a hospital
mnatutenga tusio na tweeterMkuu ilibidi niende kuzisoma. Zinaleta sintofahamu!!
Facilities at their disposal to handle such an emergency is my concern! Are they equipped with medical vifaa to handle such a complicated case, IN TANZANIA? this is my worry!Kumbuka Rais ana medical team 24h/24.
Ilo ndiyo swali na mimi nauliza hayupo kwenye coma?Je hiyo heart attach haijafika kwenye ubongo?