Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
CCM walikufanya Nini maana ulikuwa CCM kindakindaki Lkn toka uhamie Morogoro umekuwa against chama tawala
Walipoanza mauwaji pamoja na manunuzi ya Chadema huku sisi Ma hardcore wanatutosa nikaona isiwe tafrani.

Morogoro pazuli
 
Ndugu zangu, watanzania wenzangu, waleta maendeleo wenzangu, wapambanaji wenzangu. Bwana Yesu asifiwe, Aswala mwaleku, tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu asifiwe. Ni matumaini yangu mnaendeleaje vyema, ila Kwa wagonjwa Mungu awaponye.

Leo nawakumbusha jambo moja tu. Tuiombee sana Nchi yetu, Tumuombee sana Rais wetu, Tuipende sana Nchi yetu, Tupendane sana sisi Watanzania Nchi yetu ndio zawadi Mungu aliyo tupatia tena ni ya thamani sana.

Asanteni kwa kuusoma huu ujumbe.
Majukumu mema.
 
Tumeshuhudia Watanzania kwa wingi wao wamesusia kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na sasa watu wanaonyesha chuki zao kali kuhusu mtanziko huu uliopo sasa! Sumu ( venom) ni kali sana. Kama Taifa tumekosea wapi?!
 
Nimesoma maoni mengi ya wachangiaji toka jana: Nimebaini mambo makuu mawili ambayo ni;

1). Idadi ya wamchukiayo ni kubwa sana kuliko wamsifiao/wampendao.

2). Hata Wale vijana wa mtandaoni kutoka lumumba kumbe nao wanachukia tu bwana yule" .
 
Ninauhakika mshikaji akirudi WATU WENGI SANA WATAPOTEA.

Wale wote waliokuwa wakifurahia alipokuwa akiumwa watakiona cha MTEMA KUNI.

Maaana UKATILI na ROHO MBAYA yake itaongezeka mara DUFU.

Wee ngoja uone.
 
Kumbuka Rais ana medical team 24h/24.
Facilities at their disposal to handle such an emergency is my concern! Are they equipped with medical vifaa to handle such a complicated case, IN TANZANIA? this is my worry!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom