Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Eeeee mungu msaidie mjori wako mh.jpm arejee katika afya yake,mabaya yote yanayonenwa dhidi yake yasimfike.Wasamehe wale wote wanao mwinukia.Amen
Nakuhurumia wewe na huyo Mungu wako,mwambie akuongezee uelewa na uwe unafatilia vitu si unakuja kuleta maombi hapa.
 
Utambue kuwa sio kila jambo linaloendelea ikulu lazma litangazwe.. Ile ni ikulu na sio chama cha vikoba.
Tatzo umbea umewajaa kutaka kujua kila kitu.
 

Nadhani ni mwendo wa sisi raia kutayarishwa kisakolojia.
Mwanzoni tuliaminishwa kwamba hakuna lililotokea na kwamba Raisi wetu yupo ofisini kama kawaida yake anatengua na kuchagua!
Sasa wameanza kutuaminisha kwamba ni kweli ameumwa na labda yuko kwenye hatua za kupatiwa huduma ya matibabu na labda ni kweli nje ya nchi!
Hatua itakayoufuata ni kujulishwa kwamba Mheshimiwa wetu ame... na hivyo mambo mengine yatafuatia baadae.
Kwa kumalizia tuwaombe tu waungwana kwamba sisi watanzania sasa tumekuwa wakubwa, sisi ni watu wazima sasa na si wajinga kihivyo mnavyotufikiria! haina haja ya kutupeleka hatua moja moja, I mean for God sake we can handle this!
 
Wizi was mitihani unamadhara haya ukubwani! Hujui haya maana ya Ubaguzi?
 

Unajitekenya na kucheka mwenyewe 😳
 
Noma sana!
 
Hao waliozusha watuambie yuko wapi maana ndiyo wanajifanya kuzijua sana taarifa za Mh Rais.

Huwezi kuzusha tu taarifa halafu ukaachwa tu haiwezekani.

Si wamesema mzee?
...wanasema aliugua ghafla na kupelekwa ughaibuni!
Sasa kama wewe unasema huo ni uzushi tuthibitishie kuwa hayo si ya kweli!!!
 
Hivi kwanini serikali isitoe tamko? Mnawaacha wananchi na maswali yasiyo na majibu
 
Kinachoendelea ni nini Wakuu?
Mungu na amjalie nafuu na kupona mapema arudi nyumbani kuendelea na majukumu yake. Si kwa kuwa Yu mwema, ila Ni kwa neema ya mungu tu!
"Jinsi nilivo miiiiiimi Ni kwa neeemaaa tuuuu" Basi tujivune tujine Ni kwa neeeemaaa tuuu!
 
Kuna whatsapp zinasambaa zinasema kuwa, habari za JPM kuwa amefariki si za kweli bali alipata heart attack na amekimbizwa Dar na helicopter ya jeshi then Afrika Kusini then Germany...

Huo ujumbe unaonesha umetoka kwa Vicky Emmanuel Nchimbi, sifahamu ukweli wake na unaambatana na ujumbe wa kigogo unaosema "wanangoja nini kumpa kimeo mama Samia"?

Sina uwezo wa kuapandisha hapa.

Na mwingine unasema...

There have been reports of men suffering heart attacks or chest pain after taking the popular drug V.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…