Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Malaika walimwomba mda mrefu akawaongoze ili mabeberu wasije kuchukua uchumi wao
 
Ulinzi ni ulinzi ukiongezwa ni sawa na ukipunguzwa huku ukiongezwa ni sawa pia.
Cha muhimu ni Mh.Rais kuombewa ili Mwenyezi Mungu aendelee kumpigania kutetea wananchi.
Haiwezekani wachawi na walozi wajipime nguvu na Amiri Jeshi Mkuu kiasi ya kushindwa kuendelea na majukumu yake alafu wale anaowapigania wanakenea meno.
 
V cases from kijiweni 1. Abacha 2 Dr Omar
 
Basi inaonesha fununu hizi ni kweli. Kinachofanyika sasa ni transfer of power ili wahuni wasifanye yao
 
Umeandika nini? Ulipoanza nilihisi huyu jamaa ni wa top level, but uliposema ulitamani kulia na tope zilizofuatia baadaye nimetambua wewe ni top 3 ya watu wasiojitambua nchini!
 
Hao waliozusha watuambie yuko wapi maana ndiyo wanajifanya kuzijua sana taarifa za Mh Rais.

Huwezi kuzusha tu taarifa halafu ukaachwa tu haiwezekani.
Waliozusha wameshasema yupo wapi,wewe ambae umekanusha ndo inatakiwa utueleze yupo wapi ili kuwaumbua wazushi
 
Najaribu kuwaza, malaika akimtokea na kumwambia ili kikombe hiki kisikupitie unapewa dakika 10 kumrudishia ubunge yule jamaa na kumwita nyumbani pia watumishi wa vyeti fake walipe stahili zao.
Nini kitatokea ndani ya dakika hizo 10?

Hapo lazima mshauri wake mkuu Daudi Bashite atazimia
 
Mkuu kwani kuna nini ni hawa mabeberu wanatutisha? au ni vibaraka wao JPM atalala na mbele watanyooka
 
Kwa hiyo huyo Angela Maiko anataka Mtu aache kazi aende, kwa nini yeye asije huku?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…