Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kupitia Acount ya Emmanuel Nchimbi ya Facebook , amekanusha kumfahamu Vicky Emmanuel Nchimbi na kumkana si mtoto wake na wala hamfaham
 

Did you say this when Lissu was gunned down?

You didn’t!

So stop this hypocrisy!

Drink your koolaid!

Afweeeeeeeeeeeeeeeee
 
Apone arudi kupambana nawahuni hawa ila kisheria sio anavoendesha taratibu...anakua kama hana uhakika kushinda mahakamani bwana
 
Usije kufuta Tu Huu Uzi Maanaa Naona unavyotetemeka Huko Nyuma ya Keyboard baada ya Kusikia Mme wenu jiwe kaenda Kutibiwa kwa Mabeberu
 
Mtatema tu NDOANO.
 
Ndg sometimes tumia akili yako ku reason jinsi mambo yanavyokwenda hapa Duniani usikariri sana vitabu vya dini vitakupoteza maana vingine vimetungwa na wajanja kwa maslai yao binafsi!!

Ninatumia akili yangu kuliko unavyoweza kufikiria. Mimi huwa siamini jambo bila kufanya references (both for and against). Kila kitabu cha dini kimenyiwa scrutiny, vilivyotungwa na watu vinajulikana. Simuabudu mwanadamu mimi bali Mungu Jehovah.
 
Mkuu, hata mimi nawalaumu sana hao wanao ratibu kazi zake. Iweje wanampangia Rais ziara ndefuu weee, tena za huko mikoani bila hata kupumzika. Kwani siku si zipo tu, akitembelea mkoa mmoja au miwili then akapumzika si ni sawa. Na huko mikoani akitembelea wilaya moja si ni sawa tu. Kwani anafanya research au survey kusema lazima sampling iwe scientific? Hao wasaidizi wake wajitahidi kumratibia vizuri Rais wetu mpendwa maana bado tunamhitaji. GOD with you Mr. President.
 
mzee, labda huwajui watanzania vizuri, hujui akili za Watanzania kabisa, kama viongozi wa Upinzani wanafurahia live Rais kufariki, mnawarahisishia sana kazi CCM. Hata wakiuwa na kuteka nadhani wananchi wengi watakuwa wanashangilia

Narudia tena, hao watanzania wajinga hatuna muda nao, hao wenye uelewa mpana wanatutosha wapinzani. Tunahitaji box la kura tu liheshimiwe. Wapinzani hatujawahi kujivunia watu wajinga ili tuwaburuze, bali tunahitaji watu wenye uelewa tuisogeze nchi mbele, na sio kundi kubwa la wajinga wa kutoa madaraka kwa kufuata mkumbo.
 
Damu ya sanane inakutafuna
 
Ni kama utamaduni au siasa ya aina fulani iliyozoeleka kila siku takatifu ya Jumapili kuona taarifa za wapi Rais wetu mpendwa ameswali, lengo kubwa huenda lilikuwa kututaarifu juu ya uimara wa Rais wetu katika maswala ya imani yake au kutaka kutuonyesha kuwa Rais ni mtu wa Mungu kwelikweli na kila kitu anachofanya basi anaongozwa na Mungu na yeye ndio muongozo wake.
Sasa tunataka kujua leo kaswali wapi na je nyinyi waumini kuna mtu kaswali naye huko?
 
Kutokana na maandiko matakatifu, kutumia maneno ya milango ya kuzimu haimuwezi mtu pasipo uwezo kimungu si sahihi. Pamoja na nia yako njema juu ya afya ya Rais wetu, ni vyema kuepuka kutumia maneno ambayo yanagusa karama na uwezo wa Mungu.
 
Kigogo amesemaje?
 
Toka meja ya watu wanaovaa suti nyeusi ni kuwa alipata mshituko wa moyo, akakimbizwa Muhimbili, then ikawa fedheha akapelekwa kwa Madiba then kwa mabeberu ujerumani aliko patiwa matibabu ya mwanzo kabisa.

Kwa sasa anaendelea (haijulikani vizuri au vibaya) ila yuko Ujerumani kwa matibabu ya moyo
 
Sikutegemea kabisa mtu kama Zitto kushabikia vitu kama hivi. Kweli mtu anayefikiria hata kuwa Rais! Enzi zile kuna vitu tuliona labda ni ujana/utoto lakini sasa anazidi kututia shaka wengine.
Hata mimi amenishangaza sana Zitto ! Ni kama anafurahia !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…