Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kigogo amesemaje mkuu?
 
Aiseee basi wauguzi wa Muhimbili lasima walipigwa biti isitoke hata nusu taarifa
 
Tatizo hizi za kunyapia nyapia zimekuwa nyingi sana. Yote kwa yote apone tuu haraka arejee katika majukumu yake.
 
Kwa hiyo unazani ni lini Msigwa atakuja kutuambia kama ulivyotuambia wwe maana yeye ndiye msemaji wa Ikulu!?
 

kumbeeee
 
Ngoja tusubiri taarifa kutoka Ikulu zikiwa na mapichapicha mazuuuuri yanayoonyesha mandhari safi huku akizungukwa na walinzi wake pale anapopiga magoti
 
Aiseee tunajisahau kwamba ss binadamu tunaumiza wengine
 
Tulia wewe haujui kitu.
 
Tusilazimishane kulishana matango pori

Nina sema tuendelee kuhubiri amani wakati wote

Upendo ndo suala muhim

Britannica
 
Kwa hiyo unazani ni lini Msigwa atakuja kutuambia kama ulivyotuambia wwe maana yeye ndiye msemaji wa Ikulu!?
Kikawaida yakuwa mazuri au mabaya ndio atajitokeza kwa sasa lazima wajipange nani anapewa majukumu ya urais akishaaminika ndio taarifa inatoka
 
Nanunu roho/moyo wa huruma mwenye nao aje pm.....
Mm naona huu wangu umeshindwa kua na uzalendo....
 
Nyimbo za kumuaga Nyerere zilitungwa kwa ustadi mkubwa na hisia kali sana, kwa sasa mtunzi hatuko naye tena.... pumzika pema Captain John Komba.
 
Angel na Jiwe waliongea kwa lugha gani?
 
Ni haki na uhuru wa binadamu kupenda na kutokupenda, tambua watu wana hulka ya kupenda na kuchukia bro usilazimishe watu wawe na same perspectives never. Trump daily anatukanwa ata live hivi na watu wanaachwa. Acha kutishia watu. Kwa wenye hofu ya Mungu tuombee upendo amani na mshikamano kwa watu wote pasi kujali itikadi zetu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…