Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Kigogo amesemaje mkuu?Hii imedhihirisha kuwa Rais John Joseph Pombe Magufuli ni kipenzi cha watanzania yeye anawapenda na wao wanampenda baada ya Rais wa watanzania kujichimbia ikulu kama kawaida yake
Watanzania wameanza kuwa na hamu naye wanahisi kukosa kusikia sauti ni kama kupoteza ala nzuri masikioni mwao,
Ni hakika 2020 Magufuli atachukua nchi kweupe saa asubuhi kwa mahaba wanayoyaonyesha!
Magufuli habagui watu kwa vyama wala dini wote anawapa maendeleo!