Ni jambo jema wakatolea taarifa. Huu uvumi unanifanya nikose raha kabisa. Yaani hata sielewi kwa nini.
Kwani mpaka sasa hajaonekana hadharani kwa miezi mingapi
Akionekana kila siku shida asipoonekana shida.Mbona kule Nigeria buhari anaweza kukaa hata miezi 3 bila kujulikana aliko
Ndiyo shida ya kumtegemea mtu mmoja kufanya maamuzi ya kila kitu.
Sasa mtu huyo mwenye kufanya maamuzi ndiyo huyo labda hajiwezi kwa sasa. Nani aseme?
Sawa kakaUnakosea sana kuamini story za kigogo
Kimya kimya?Atakua na kikao na DPP KUHUSU UPOTEVU WA DATA LABDA!
Labda ili kipatikane cha kuuambia umma kilichochujwaKimya kimya?
Wakati mwingine gharama ni bora kuliko hasara,hivi watu kama mugabe,mobutu,kamuzu banda,bokassa ,abacha ni faida hasara?Raisi lazima ategemewe ktk nchi iwe isiwe unajua gharama za kumchagua raisi mpya endapo litatokea la kutokea?(japo siombei)
Ni kweli mkuu!Kuna wahuni na baadhi ya wanasiasa tuliowaheshimu wameonesha kushangilia tetesi hizo! Tabia za kichawi kabisa hata kama huwangi usiku.
Rais wetu ametenda mambo makubwa na yenye manufaa kuliko madhaifu mnayomhukumu nayo na kumtakia mabaya.
Serikali itoe taarifa rasmi badala ya kuacha redio za mbao ziendelee kulisha jamii chuki na tabia mbaya kabisa kuombeana mabaya kwa matamanio binafsi.
Ukweli haupiganiwi bali unajipigania.
Asaka computer iliyopoteaTuliumbwa kwa udongo na mavumbini tutarudi. Nawatakia sabato njema.
Wakati mwingine si serikali tu, hawa watu ni marafiki, washirika, waumini, majirani zetu. Tukemeane kwenye ujinga kama tunavyolipuka viongozi wakikosea.Naishauri serikali ichukue hatua kwa wote wanaohusika na hii tabia.
Wakati mwingine si serikali tu, hawa watu ni marafiki, washirika, waumini, majirani zetu. Tukemeane kwenye ujinga kama tunavyolipuka viongozi wakikosea.
Wale waliokuwa wanalaani waliokuwa wakimbeza Lissu baada ya yale matatizo wengine ndio wanashangilia hizi tetesi na hata huoni wakikemea kama wanavyojinasibu kama watetezi wa haki. Tena wengine wanataka Urais! Shame!
Jamii yetu inapenda sana umbea. Sijui tuna shida gani
Chuma kipo dodoma kimetulia waodhani meli ya mgiriki itatia nanga watasubiri wao
Kwanini ukose raha? Umeambiwa na mdau hapo juu, yupo Lindi anakula korosho au we upendi koroshoNi jambo jema wakatolea taarifa. Huu uvumi unanifanya nikose raha kabisa. Yaani hata sielewi kwa nini.
πππ unazungumziaje na huku Venezuela je Maduro akiondoka ni faida au hasara?Wakati mwingine gharama ni bora kuliko hasara,hivi watu kama mugabe,mobutu,kamuzu banda,bokassa ,abacha ni faida hasara?