Unawajua wabongo wewe?? Hebu wasome hapa kipindi jk kaanguka jukwaani hadi mods wakaamua kuufunga uzi!
Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)
Du ! Haya kumekucha huko Jangwani mwenye news zaidi atujulishe hii ni kwa mujibu wa TBC ndo naangalia hapa, Rais Kikwete kadondoka live akihutubia. Rais Jakaya Kikwete akiwa amebebwa na walinzi pamoja na wasaidizi wakati alipoanguka Jukwaani Jangwani Masononeko na vilio mara baada ya Rais...www.jamiiforums.com
Tuelezeni rais wetu jiwe yuko wapi? Kigogo si rais wa nchi hii.Huyu Kigogo ni wakukamata na kumnyonga hadharani, iwe fundisho kwa wengine
Mimi nitapika pilau na kuku wawili wazima.
Katupita hapa Mbezi babe na robo mchana kweupe akiingia Dar
Nyie bakini na ujinga wenu wa kudanganywa na mafisadi.
Mmh ni walewale aisee, alafu sasa iv unaweza sema wengi sababu ya hii mitandao!Ni kweli wapo walioshangilia. Ila jaribu kufanya comparison kipindi kile na sasa. Kwa magu watu wengi wanashangilia.
Sasa kama rais alionekana juzi alafu leo wanahoji maana yake nini. Maana yaka wanataka kumuona kila siku. Pia mkitangaziwa tu kama rais yupo sawa bila ya kumuona kwenye media lazima pia watu wahoji kwanini watangaziwe na wasimuone. Watz mpaka leo hawajui wanachokitaka wapo wapo tu. Sijui nani katuroga.Ujinga wa watu wa nchi hii ni kweli japo panaweza pasiwe na takwimu au tafiti iliyofanyika.
Lakini kuita watu wajinga halafu kwenye post hiyo hiyo ukaonyesha ufinyu wa ku reason ni ujinga wa namna yake pia.
Hoja ya mtoa mada si Rais aonekane kwenye media kila siku, kwa hiyo hoja unayotumia si relevant kwa mjadala huu.
Pole ni sana MATAGA, mama suluhu atakuja na safu mpya, na Sera mpya sio Sera zenu za kishambaa, mtajiri wawe masikini, kuteka kutesa, kuua kubambika kesi Kutakoma kabisa. Mama lazima afufue mchakato wa katiba mpyaAlafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
DPP alipoona mwenye hazina yake kakata kauli, akawaita watuhumiwa ofisini wamplekee mabulungutu. Ujaja kuwahi
Ahahahaaaa mghhh.God do your will
Alafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
Ni kupotezeana muda. Apambane tu na Hali yake Kama sisi wengineunamuwaza mtu ambaye hata anaweza mtukana mamako bila hata ya kuona haya usoni!!?
Mmh labda kajifungia ikulu ..maana juzi niliona msafara wake ukipita wakitokea kusini