Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Ni kweli wapo walioshangilia. Ila jaribu kufanya comparison kipindi kile na sasa. Kwa magu watu wengi wanashangilia.
Unawajua wabongo wewe?? Hebu wasome hapa kipindi jk kaanguka jukwaani hadi mods wakaamua kuufunga uzi!
 
Mmh labda kajifungia ikulu ..maana juzi niliona msafara wake ukipita wakitokea kusini
 
Kuna mjinga huko eti kaposti kazi ya Mungu haina makosa ‘ Pumbafu kabisa.
 
Ni kweli wapo walioshangilia. Ila jaribu kufanya comparison kipindi kile na sasa. Kwa magu watu wengi wanashangilia.
Mmh ni walewale aisee, alafu sasa iv unaweza sema wengi sababu ya hii mitandao!
Kumbuka kipindi hicho nani alikuwa anaingia tweeter sana?
Nani alikuwa anaingua Jf sana? Na IG?
 
Ujinga wa watu wa nchi hii ni kweli japo panaweza pasiwe na takwimu au tafiti iliyofanyika.
Lakini kuita watu wajinga halafu kwenye post hiyo hiyo ukaonyesha ufinyu wa ku reason ni ujinga wa namna yake pia.
Hoja ya mtoa mada si Rais aonekane kwenye media kila siku, kwa hiyo hoja unayotumia si relevant kwa mjadala huu.
Sasa kama rais alionekana juzi alafu leo wanahoji maana yake nini. Maana yaka wanataka kumuona kila siku. Pia mkitangaziwa tu kama rais yupo sawa bila ya kumuona kwenye media lazima pia watu wahoji kwanini watangaziwe na wasimuone. Watz mpaka leo hawajui wanachokitaka wapo wapo tu. Sijui nani katuroga.
 
Alafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
Pole ni sana MATAGA, mama suluhu atakuja na safu mpya, na Sera mpya sio Sera zenu za kishambaa, mtajiri wawe masikini, kuteka kutesa, kuua kubambika kesi Kutakoma kabisa. Mama lazima afufue mchakato wa katiba mpya
 
Mbona hao unaotaka watendewe haki wao hawatendi haki kwa wenzao ?

Kama tunapigania haki tusipofushwe na itikadi na mitizamo yetu.

Wanyonge humuachia Mungu awalipie kisasi hivyo zinqpojitokeza ishara za Mungu kuwalipia kisasi wanahaki kuonyesha hisia zao kama ambavyo watesi wao walikunywa na kufurahia Mateso ya wanyonge wao.

Karma is bitch
Alafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
 
.
Screenshot_20191019_142920_com.twitter.android.jpeg
 
Alikua bado anaendelea na ratiba yake. Anavyopenda viwanda asiende kukutana na wenye viwanda Pwani wakatiwamejenga viwanda 4000 kwa miaka4
Mmh labda kajifungia ikulu ..maana juzi niliona msafara wake ukipita wakitokea kusini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom