Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
And vice versaAlafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Alikua bado anaendelea na ratiba yake. Anavyopenda viwanda asiende kukutana na wenye viwanda Pwani wakatiwamejenga viwanda 4000 kwa miaka4
Ni hatari sana tulipofikia kwa kweli.[emoji26]
Boss ni mzima wa afya wanaomuombea mabaya yawarudie wao.Alikua bado anaendelea na ratiba yake. Anavyopenda viwanda asiende kukutana na wenye viwanda Pwani wakatiwamejenga viwanda 4000 kwa miaka4
Huyu Kigogo ni wakukamata na kumnyonga hadharani, iwe fundisho kwa wengine
unajua alikuwa katika ziaraKwani mpaka sasa hajaonekana hadharani kwa miezi mingapi
Akionekana kila siku shida asipoonekana shida.Mbona kule Nigeria buhari anaweza kukaa hata miezi 3 bila kujulikana aliko
Wewe lazima ni lijizi au litoto la mtumbuliwa,shame on youUnavyoishi na watu pindi unapopata matatizo ndio muda muafaka wa kupata mrejesho. Haya ni automatic by nature. Kama kuna mazuri kafanya huo ni wajibu wake, ila hilo halizuii watu kuonyesha hisia zao, hasa kama hakuwatendea sawa. Kama wewe unaona ana mazuri muombee maana hiyo ni haki yako, sio lazima na wengine nao wafanye utakavyo ww.
Naunga mkono hoja, kunapotokea sintofahamu yoyote kuhusu hali ya rais wetu, wananchi tunapaswa kuelezwa.
Hata JK alipoanguka julwaani tulielezwa ni tatizo dogo tuu la fatigue amepumzika na yuko ok.
Hata baada ya tetemeko la Bukoba, kina sisi tulihoji ukimya wa rais. Rais sio mtu tuu huyu ni taasisi.
P
Acha kufananisha Nigeria na TZ. Huko kwao usalama upo mashakani muda wote.Kwani mpaka sasa hajaonekana hadharani kwa miezi mingapi
Akionekana kila siku shida asipoonekana shida.Mbona kule Nigeria buhari anaweza kukaa hata miezi 3 bila kujulikana aliko
Mama yupo muda ulioaki atamudu majukumuRaisi lazima ategemewe ktk nchi iwe isiwe unajua gharama za kumchagua raisi mpya endapo litatokea la kutokea?(japo siombei)
mna wasiwasi tu wa bure yule ni jiwe hatingishiki hovyohovyo hata kwa ugonjwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Viwanda 4000 vya maandishi??
Boss ni mzima wa afya wanaomuombea mabaya yawarudie wao.
Yaani hapo ndio umejibu mkuu? Hatupaswi kuiga mapungufu ya wengine na kuhalalisha madhaifu yetu. Aliyeleta mada ameandika vyema kabisa, ni vizuri vyombo husika wakanushe haya kami ni uvumi au watupe update kama ni kweli. Vinginevyo yasemwayo yaweza kuwa kweliKwani mpaka sasa hajaonekana hadharani kwa miezi mingapi
Akionekana kila siku shida asipoonekana shida.Mbona kule Nigeria buhari anaweza kukaa hata miezi 3 bila kujulikana aliko