Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Alafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
And vice versa
 
Alikua bado anaendelea na ratiba yake. Anavyopenda viwanda asiende kukutana na wenye viwanda Pwani wakatiwamejenga viwanda 4000 kwa miaka4
[emoji23][emoji23][emoji23]

Viwanda 4000 vya maandishi??
 
Alikua bado anaendelea na ratiba yake. Anavyopenda viwanda asiende kukutana na wenye viwanda Pwani wakatiwamejenga viwanda 4000 kwa miaka4
Boss ni mzima wa afya wanaomuombea mabaya yawarudie wao.
 
Unavyoishi na watu pindi unapopata matatizo ndio muda muafaka wa kupata mrejesho. Haya ni automatic by nature. Kama kuna mazuri kafanya huo ni wajibu wake, ila hilo halizuii watu kuonyesha hisia zao, hasa kama hakuwatendea sawa. Kama wewe unaona ana mazuri muombee maana hiyo ni haki yako, sio lazima na wengine nao wafanye utakavyo ww.
Wewe lazima ni lijizi au litoto la mtumbuliwa,shame on you
 
Tatizo la uongozi wa awamu hii taarifa za msingi wanazificha mambo ya hovyo wanaitisha press.
Naunga mkono hoja, kunapotokea sintofahamu yoyote kuhusu hali ya rais wetu, wananchi tunapaswa kuelezwa.

Hata JK alipoanguka julwaani tulielezwa ni tatizo dogo tuu la fatigue amepumzika na yuko ok.

Hata baada ya tetemeko la Bukoba, kina sisi tulihoji ukimya wa rais. Rais sio mtu tuu huyu ni taasisi.
P
 
Kwani mpaka sasa hajaonekana hadharani kwa miezi mingapi

Akionekana kila siku shida asipoonekana shida.Mbona kule Nigeria buhari anaweza kukaa hata miezi 3 bila kujulikana aliko
Yaani hapo ndio umejibu mkuu? Hatupaswi kuiga mapungufu ya wengine na kuhalalisha madhaifu yetu. Aliyeleta mada ameandika vyema kabisa, ni vizuri vyombo husika wakanushe haya kami ni uvumi au watupe update kama ni kweli. Vinginevyo yasemwayo yaweza kuwa kweli
 
Kwaaaniiiii🤔🤔🤔🤔🤔🤔

aaaagh! Lakiniiiiiiiiii🤔🤔

au basi.

.................inafikirisha kidogo🤔🤔🤔🤔🤔🤔


Waacheni wafu wazikane wenyewe.

Time will tell us soon But God Bless our enemy.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom